Tatizo wa TZ tunaona ni ushamba kusafiri na public transport. Mtu unakqenda Arusha au Moshi moja ya maeneo ambayo yana one of the best public transport kuqnzia mabasi, ndege, train etc unaamua kuendesha kwa leseni yako "D" au "E". Ili tuu ukashow off.
Mabasi ya Arusha na Moshi yana madaraja mazuri sana. 2x2 or 2x1 na sasa hivi unaweza safiri hata usiku.
kWa wale wenye fedha nzuri, nunua gari acha kijijini, ukienda likizo una gari la kupigia misele, sio lazima utoke na gari dar hadi bukoba (ushamba).