Tumeshawaambia msisafiri na familia nzima katika gari moja ila hamsikii

Tumeshawaambia msisafiri na familia nzima katika gari moja ila hamsikii

Watz ni watu wajinga Sana .

Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.

Baba
Mama
Watoto

Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote.

Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.
Kuna maisha yale ya kumwambia driver,kesho tunaenda Moshi uje saa kumi na nusu tuwahi kufika,Nina kikao Leo usiku na mkuu,lakini naamini utawahi kuja baada ya kunipeleka nyumbani,nitakuwa na waife na watoto, by the way pesa na posho yako Iko muse mhasibu kaionbea,lakini,mpeleke Regina Airport saa saba usiku anaenda
Dubai na
ndege ya Flay Emirates.Kwa hesabu ya haraka Dereva hajalala na cash hana,pit
 
Tatizo barabarani unaweza ukaendesha kwa umakini wa hali ya juu akatokea mpuuzi mmoja akakuletea msala.
 
Tatizo wa TZ tunaona ni ushamba kusafiri na public transport. Mtu unakqenda Arusha au Moshi moja ya maeneo ambayo yana one of the best public transport kuqnzia mabasi, ndege, train etc unaamua kuendesha kwa leseni yako "D" au "E". Ili tuu ukashow off.

Mabasi ya Arusha na Moshi yana madaraja mazuri sana. 2x2 or 2x1 na sasa hivi unaweza safiri hata usiku.

kWa wale wenye fedha nzuri, nunua gari acha kijijini, ukienda likizo una gari la kupigia misele, sio lazima utoke na gari dar hadi bukoba (ushamba).
Kwa hiyo kwenye public transport hakuna ajali.
 
Watz ni watu wajinga Sana .

Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.

Baba
Mama
Watoto

Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote.

Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.
Kwanini uwaze Ajali Tu? Ikitokea ujue ndio imeandikwa hivyo
 
Akipanga kwako nafikiri jibu la swali lako utalipata
Acha vitisho, Mungu hapangi lolote. Kila kinachotokea ni matokeo ya sisi wenyewe. Watu wanatumia barabara bila kuzingatia sheria za usalama barabarani then yakitokea maafa mnaanza kusema mipango ya Mungu. Angalia nchi kama norway, sweden na iceland, wana viwango vidogo sana vya vifo vitokanavyo na ajali za barabarani. So unataka kuniambia huko Mungu huwa hapangi vifo vya ajali viwe vingi kama huku.? Tujifunze kuwajibika na siyo kutafuta vichaka vya kujificha...
 
Kusafiri pamoja hakuna tatizo kabisa.Tatizo ni ubovu wa barabara,uzoefu mdogo wa kuendesha gari masaa mengi na uzembe wa baadhi wa madereva barabarani hasa hawa wa magari makubwa kama Lori na mabasi.Mtu kama hujazoea kuendesha gari masaa mengi Mfano utoke dar Hadi mwanza Bora utafute dereva mwenye akili timamu mwenye uzoefu na kufuata Sheria za usalama barabarani
Usisahau akili na maarifa yote ya Binadamu tangu kuumbwa kwa ulimwengu ndiyo yamefikia 5% tu ya ubongo. Bila rehema na neema za Mungu kuona kesho yetu ni bahati tu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Watz ni watu wajinga Sana .

Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.

Baba
Mama
Watoto

Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote.

Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.
Nyie ambao hamtakufa hamsafiri
 
Kusafiri pamoja hakuna tatizo kabisa.Tatizo ni ubovu wa barabara,uzoefu mdogo wa kuendesha gari masaa mengi na uzembe wa baadhi wa madereva barabarani hasa hawa wa magari makubwa kama Lori na mabasi.Mtu kama hujazoea kuendesha gari masaa mengi Mfano utoke dar Hadi mwanza Bora utafute dereva mwenye akili timamu mwenye uzoefu na kufuata Sheria za usalama barabarani
Hata wasingesafiri wangekufa tuu
 
Kama hujawahi kumwona unathibitishaje kuwa huwa anapanga. Hizi stori za alipangalo Mungu huwezi kukwepa ni jitihada za binadamu kukwepa kuwajibika kwa makosa yake. Ajali zinazotokea nyingi zinasababishwa na uzembe wa watumiaji wa barabara na vyombo vya moto...
Hiyo ni kwa mujibu wako kutokana na kile unachokiamini na mimi nina imani yangu tofauti kwahiyo endelea kuamini unachokiamini tusipangiane.
 
Back
Top Bottom