Tumeshawaambia msisafiri na familia nzima katika gari moja ila hamsikii

Tumeshawaambia msisafiri na familia nzima katika gari moja ila hamsikii

Naona mnatupa sababu za kutosafiri na familia kipindi hiki cha sikukuu 🙌

By the way nipo safarini na familia kwaajili ya sikukuu, ila naendesha mdogo mdogo

Ni maombi yangu, tufike salama na kurudi salama pia 🙏🙏

Natambua Kila mtu atakufa, lakini isiwe kutuondoa familia nzima Kwa pamoja
 
Mipango yote anapanga Maulana. Akiamua utangulie kwenye haki hata ajali ndogo kwa macho utaitika wito tu, akiamua usiitike siku hiyo unatoka mzima kwenye ajali inayogeuza gari jipya kuwa chuma chakavu....

RIP Nko Bwana ahimidiwe.
 
Watz ni watu wajinga Sana .

Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.

Baba
Mama
Watoto

Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote.

Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.
Jambo la msingi siku ikifika maandiko yatatimia watu wanasafiri ukoo mzima wanafika salama na kurudi
 
Watz ni watu wajinga Sana .

Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.

Baba
Mama
Watoto

Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote.

Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.
Ni afadhali hata Wanafamilia wengine watangulie kwa usafiri tofauti ili kupunguza uwezekano wa kumaliza familia katika ajali iwapo itatokea.
 
Mwenyezi Mungu akipanga lake huwezi kulikwepa hata iweje,kikubwa tuwaombee heri huko waendako na tuwape pole wafiwa na kuwatakia nafuu ya haraka waliojeruhiwa.
Pia tuendelee kukumbushana kuishi vyema hapa duniani tusifanyiane husuda na roho mbaya bali tuishi kwa kutendeana vyema kwani maisha ya duniani ni mafupi sana.
Umeshawahi kumuona anavyopanga?
 
Siku yako ya kufa ikisha fika hakuna kitu chochote chenye uwezo wa kuzuia hilo.
Maisha ni kitendawili. Mfano kama familia ikitaka kusafiri na katika fsmilia kukatokea mmoja akatoa wazo kuwa familia nzima isafiri pamoja kwa bus A lakini pengine baba wa familia akakataa wazo hilo na kuweka msisitizo kuwa wanafamilia wengine wapande bus B na ikatokea bahati mbaya bus B likapata ajali na kuua wanafamilia wote waliolipanda si baba wa familia ataumia sana kwa yeye kung'ang'ania wapande bus hilo.
 
Naona mnatupa sababu za kutosafiri na familia kipindi hiki cha sikukuu 🙌

By the way nipo safarini na familia kwaajili ya sikukuu, ila naendesha mdogo mdogo

Ni maombi yangu, tufike salama na kurudi salama pia 🙏🙏

Natambua Kila mtu atakufa, lakini isiwe kutuondoa familia nzima Kwa pamoja
Amen, kwa msaada wa Bwana mkimtanguliza na kumkabidhi hiyo safari mtafika pasi na shaka. Tumuamini Mungu mengine tumuachie afanye "Mstari wa msingi: Zaburi 127:1-2 “Bwana asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.
 
Mwenyezi Mungu akipanga lake huwezi kulikwepa hata iweje,kikubwa tuwaombee heri huko waendako na tuwape pole wafiwa na kuwatakia nafuu ya haraka waliojeruhiwa.
Pia tuendelee kukumbushana kuishi vyema hapa duniani tusifanyiane husuda na roho mbaya bali tuishi kwa kutendeana vyema kwani maisha ya duniani ni mafupi sana.
Mungu wa kweli hamuwazii Wala kumpangia mabaya binadamu
 
Back
Top Bottom