PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
You have a point, ila kuna kuungua kwa nyumba, kupigwa radi, kwenda out as a family , kupikiwa na dada wa kazi, kuna syory ya Taji Liundi, hivyo pia vinaweza kupelekea mkuu.Watz ni watu wajinga Sana .
Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.
Baba
Mama
Watoto
Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote.
Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.
Kikubwa ni wote kuwa makin, tufuate sheria, tulindane