Tumeshawaambia msisafiri na familia nzima katika gari moja ila hamsikii

Watz ni watu wajinga Sana .

Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.

Baba
Mama
Watoto

Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote.

Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.
Sasa huu utaratibu ni kwa wenye magari yao madogo tu au hata huku kwetu tunaotumia usafiri wa daladala na mabasi...
 
Kuendesha gari ni adventure pia. So usiite starehe ya mwenzio ushamba. Wewe hujaoa ila unapiga miti hadi watoto wa shule. Tukuite mshamba sababu hujaoa?
 
Atapataje uzoefu sasa asipoendesha mkuu
Asafiri na mzoefu, mbona rahisi sana mkuu. Mkiwa njiani unampa kutoka Korogwe hadi Same, utaona tu mwenyewe atakuambia njoo uendeshe. Long trips zinataka uzoefu, wengi tumezoea mjini ila mara ya kwanza kupiga 600km ni mtihani sana.
 
Asafiri na mzoefu, mbona rahisi sana mkuu. Mkiwa njiani unampa kutoka Korogwe hadi Same, utaona tu mwenyewe atakuambia njoo uendeshe. Long trips zinataka uzoefu, wengi tumezoea mjini ila mara ya kwanza kupiga 600km ni mtihani sana.
Nimekupata mkuu
 
Wakifa wote au wakifa mmoja mmoja tofauti iko wapi? Tena wakifa wote ni afadhali zaidi maana hamna wanaobaki kuteseka sababu ya kuondokewa na wapendwa/mpendwa wao.
 
WanaCCM mnaotokea Burundi mnatuharibia sana lugha yetu ya KISWAHILI
Tulia Mzee unaweza kupigwa mpaka uka bantalala kabisa.

CCM ilituambia tuhamie Burundi Leo mnatunyang'anya uraia!!! Why!?.

Kwakweli UV_CCM wame tunyuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…