Tumeshuhudia wahuni waliotumwa kuja kufanya vurugu na timu ya iliyokuja kucheza mpira!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Refa alikuwa ni muungwana lakini ni dhaifu alitakiwq kuwapa kadi nyekundu wale wahuni walioingia kwa maagizo ya kumprovoke refa nq kuacha kucheza mpira amewanyima simba clear penalty baada ya kumuangusha kibu......
Waamuzi waongeze umakini kwa wahuni na wapewe onyo watu wanatoa pesa kulipia ving'amuzi kuangalia burudani sio mieleka.....zaido tumeona mchezo mzuri na wa kiungwana kwa upande wa simba simba point 40 kileleni.....kesho tushuhudie penati na magoli ya mchongo ya mikono kutoka kwa yanga kumbe waamuzi pia wanabet......!
 
1. Marefa wote game iliwashinda. Game ilikua nzito kuliko uwezo wao wa kimaamuzi

2. Singida nadhani walikua fit physicaly na hawakua full fit mentally

3. Simba kama mgeni kwenye mchezo ametumia advantage ya SBS kutokua fit mentaly wao ndio wakawa mara mbili yao na wakanufaika.

4. Nilitegemea burudani ya soka kwa bahati mbaya timu zote zipo kimkakati na hata kiuwezo kushabihiana hivyo kukosa ile quality kama tunayoipata kwa Yanga ya soka safi.

Hongera kwa Simba unaenda mwaka mpya ukiwa kileleni ya papatu. See you next time
 
Refa alikua akiipendelea Simba muda mwingi wa mchezo.
Wachezaji wa Singida wakilalamika ana watishia na kadi.

Goli la Simba kabla alijafungwa Beki wa Simba Hamza ana msukuma kipa wa Singida akiwa hewani na kipa Metacha anakosa balance na kushindwa ku ufikia mpira ambao unapigwa kichwa kuwa Goli.

Refa wa kati anapambana wasidizi wake wanapambana kuhakikisha Simba inashinda.

Wachezaji wa Singida walikua wakitolewa mchezoni makusudi na refa ili kuitengenezea Simba Mazingira ya ushindi.

Marefa wamekua wakifanya vitendo vya aibu na kuwavunjia heshima kwenye kazi Yao.
 
Marefa mchezo umewashinda kabisa Kuna Ile Kona alitoa Hamza akapuliza kuwa goalkick sasa sikujua alikuwa amevuta bangi ama alivaa miwani ya mbao, faulu alikuwa anaziona za singida tu za Simba alikuwa anaenda likizo kwa muda!
 
Refa alikua akiipendelea Simba muda mwingi wa mchezo.
Wachezaji wa Singida wakilalamika ana watishia na kasi

Kulalamika kwa wachezaji wa SGS ilikuwa ni kutafuta huruma ya Mashabiki wa upande wa pili na siyo kwamba walikuwa wakifanyiwa faulo

Lakini ukweli ni kwamba milioni 100 walizoahidiwa ili wacheze kihuni zimewatokea puani.
 
Mpira ulikua Live tuliobahatika tumeuona, hawakua wakilalamika Bure.
Goli walilofungwa kipa amesukumwa na Hamza kabla ya Ngoma kufunga wakati refa yupo MITA 10 kutoka kwenye tukio na kalikubali.

Mpira wa Kona ulio tolewa na Hamza refa anaweka Goal kick, mchezaji ana muuliza anampa kadi ya njano.
Sasa wachezaji wasilalanike wakati Wana dhulumiwa!!
 
Simba wamshukuru Metacha.
 
Ilikuwa offside pili nioneshe video ambayo hamza anatumia mikono yake kumsukuma metacha.
 
Refa alikua akiipendelea Simba muda mwingi wa mchezo.
Wachezaji wa Singida wakilalamika ana watishia na kasi

Goli la Simba kabla alijafungwa Beki wa Simba Hamza ana msukuma kipa wa Singida akiwa hewani na kipa Metacha anakosa balance na kushindwa ku ufikia mpira ambao unapigwa kichwa kuwa Goli.

Refa wa kati anapambana wasidizi wake wanapambana kuhakikisha Simba inashinda.

Wachezaji wa Singida walikua wakitolewa mchezoni makusudi na refa ili kuitengenezea Simba Mazingira ya ushindi.

Marefa wamekua wakifanya vitendo vya aibu na kuwavunjia heshima kwenye kazi Yao.
Umeandika ujinga tu wewe peke yako ndio uliona hivyo?
 
Kulalamika kwa wachezaji wa SGS ilikuwa ni kutafuta huruma ya Mashabiki wa upande wa pili na siyo kwamba walikuwa wakifanyiwa faulo

Lakini ukweli ni kwamba milioni 100 walizoahidiwa ili wacheze kihuni zimewatokea puani.
Kwaiyo mechi umeangalia peke yako sio?
 
Ubaya Ubwelaaaaa! Halafu hii kauli mbiu ni kama hamjaielewa vileee.
 
Refa alikua akiipendelea Simba muda mwingi wa mchezo.
Wachezaji wa Singida wakilalamika ana watishia na kasi

Goli la Simba kabla alijafungwa Beki wa Simba Hamza ana msukuma kipa wa Singida akiwa hewani na kipa Metacha anakosa balance na kushindwa ku ufikia mpira ambao unapigwa kichwa kuwa Goli.

Refa wa kati anapambana wasidizi wake wanapambana kuhakikisha Simba inashinda.

Wachezaji wa Singida walikua wakitolewa mchezoni makusudi na refa ili kuitengenezea Simba Mazingira ya ushindi.

Marefa wamekua wakifanya vitendo vya aibu na kuwavunjia heshima kwenye kazi Yao.
Rudi Kazini Baba Hela Nje Nje.
 
Mwiko nyuma walitarajia furaha Kimewaramba Simba hatucheki na WOWOTE 😂😂😂
 
Refa alikua akiipendelea Simba muda mwingi wa mchezo.
Wachezaji wa Singida wakilalamika ana watishia na kasi

Goli la Simba kabla alijafungwa Beki wa Simba Hamza ana msukuma kipa wa Singida akiwa hewani na kipa Metacha anakosa balance na kushindwa ku ufikia mpira ambao unapigwa kichwa kuwa Goli.

Refa wa kati anapambana wasidizi wake wanapambana kuhakikisha Simba inashinda.

Wachezaji wa Singida walikua wakitolewa mchezoni makusudi na refa ili kuitengenezea Simba Mazingira ya ushindi.

Marefa wamekua wakifanya vitendo vya aibu na kuwavunjia heshima kwenye kazi Yao.
Unafirwa.
 
Back
Top Bottom