kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Simba imeshinda dhidi ya SBS bila penatiBila penati hua mnahisi hamjashinda. Kabisa..
Haki itendeke hatutaki mpira wa kihuni adhabu ya wahuni ni penati na kadi nyekundu kama bacca na aucho wamenyooka sasa!Bila penati hua mnahisi hamjashinda. Kabisa..
Kulalamika kwa wachezaji wa SGS ilikuwa ni kutafuta huruma ya Mashabiki wa upande wa pili na siyo kwamba walikuwa wakifanyiwa fauloRefa alikua akiipendelea Simba muda mwingi wa mchezo.
Wachezaji wa Singida wakilalamika ana watishia na kasi
Goli la Simba kabla alijafungwa Beki wa Simba Hamza ana msukuma kipa wa Singida akiwa hewani na kipa Metacha anakosa balance na kushindwa ku ufikia mpira ambao unapigwa kichwa kuwa Goli.
Refa wa kati anapambana wasidizi wake wanapambana kuhakikisha Simba inashinda.
Wachezaji wa Singida walikua wakitolewa mchezoni makusudi na refa ili kuitengenezea Simba Mazingira ya ushindi.
Marefa wamekua wakifanya vitendo vya aibu na kuwavunjia heshima kwenye kazi Yao.
Mpira ulikua Live tuliobahatika tumeuona, hawakua wakilalamika Bure.Kulalamika kwa wachezaji wa SGS ilikuwa ni kutafuta huruma ya Mashabiki wa upande wa pili na siyo kwamba walikuwa wakifanyiwa faulo
Lakini ukweli ni kwamba milioni 100 walizoahidiwa ili wacheze kihuni zimewatokea puani.
Simba wamshukuru Metacha.Marefa mchezo umewashinda kabisa Kuna Ile Kona alitoa Hamza akapuliza kuwa goalkick sasa sikujua alikuwa amevuta bangi ama alivaa miwani ya mbao, faulu alikuwa anaziona za singida tu za Simba alikuwa anaenda likizo kwa muda!
Ilikuwa offside pili nioneshe video ambayo hamza anatumia mikono yake kumsukuma metacha.Mpira ulikua Live tuliobahatika tumeuona, hawakua wakilalamika Bure.
Goli walilofungwa kipa amesukumwa na Hamza kabla ya Ngoma kufunga wakati refa yupo MITA 10 kutoka kwenye tukio na kalikubali.
Mpira wa Kona ulio tolewa na Hamza refa anaweka Goal kick, mchezaji ana muuliza anampa kadi ya njano.
Sasa wachezaji wasilalanike wakati Wana dhulumiwa!!
Umeandika ujinga tu wewe peke yako ndio uliona hivyo?Refa alikua akiipendelea Simba muda mwingi wa mchezo.
Wachezaji wa Singida wakilalamika ana watishia na kasi
Goli la Simba kabla alijafungwa Beki wa Simba Hamza ana msukuma kipa wa Singida akiwa hewani na kipa Metacha anakosa balance na kushindwa ku ufikia mpira ambao unapigwa kichwa kuwa Goli.
Refa wa kati anapambana wasidizi wake wanapambana kuhakikisha Simba inashinda.
Wachezaji wa Singida walikua wakitolewa mchezoni makusudi na refa ili kuitengenezea Simba Mazingira ya ushindi.
Marefa wamekua wakifanya vitendo vya aibu na kuwavunjia heshima kwenye kazi Yao.
Kwaiyo mechi umeangalia peke yako sio?Kulalamika kwa wachezaji wa SGS ilikuwa ni kutafuta huruma ya Mashabiki wa upande wa pili na siyo kwamba walikuwa wakifanyiwa faulo
Lakini ukweli ni kwamba milioni 100 walizoahidiwa ili wacheze kihuni zimewatokea puani.
Offside Gani Ile au Mpira umeangalia peke yako?Ilikuwa offside pili nioneshe video ambayo hamza anatumia mikono yake kumsukuma metacha.
Kama ambavyo nyie hamuwezi tembea bila mwiko nyumaBila penati hua mnahisi hamjashinda. Kabisa..
Rudi Kazini Baba Hela Nje Nje.Refa alikua akiipendelea Simba muda mwingi wa mchezo.
Wachezaji wa Singida wakilalamika ana watishia na kasi
Goli la Simba kabla alijafungwa Beki wa Simba Hamza ana msukuma kipa wa Singida akiwa hewani na kipa Metacha anakosa balance na kushindwa ku ufikia mpira ambao unapigwa kichwa kuwa Goli.
Refa wa kati anapambana wasidizi wake wanapambana kuhakikisha Simba inashinda.
Wachezaji wa Singida walikua wakitolewa mchezoni makusudi na refa ili kuitengenezea Simba Mazingira ya ushindi.
Marefa wamekua wakifanya vitendo vya aibu na kuwavunjia heshima kwenye kazi Yao.
Unafirwa.Refa alikua akiipendelea Simba muda mwingi wa mchezo.