Tumetoka pagumu kweye uvuli wa mauti, asante Mungu!

Nitarudi wakuu nakuja ngoje nije...
 
Hao kina Mussolini walikuwa wauaji lakini hawamtaji taji MUNGU. Wengine walikuwa wauaji huku wakijigamba kumtanguliza MUNGU mberee! MUNGU naye akaona isiwe tabu enough is enough!
Unamzungumzia.Ndesa?
 
Chadema hamtamsahau Shujaa Magufuli aliyekata mirija yenu ya unyonyaji na utapeli
Huwezi kumsahau katili aliyeua rafiki,
Haha! Kuguswa kidogo tu mnasema Hitler! Kampeni zenu za mitandao za kumchafua huyo kiumbe zishafeli!.. njooni na mbinu nyengine za kupambana na waliohai halafu angalieni mnakwama wapi.
Jiwe alikuwa muuaji. Ndiyo maana hata aliyeko madarakani ameyabatilisha mengi yasiyo ya ubinadamu ya jiwe
mtoto wako, shangazi, mjomba ., mume, mke etc etc. Uko sahihi kabisa.
 
Huwezi kumsahau katili aliyeua rafiki,

Jiwe alikuwa muuaji. Ndiyo maana hata aliyeko madarakani ameyabatilisha mengi yasiyo ya ubinadamu ya jiwe
mtoto wako, shangazi, mjomba ., mume, mke etc etc. Uko sahihi kabisa.
Mbona wewee hujauliwa unaendelea kuuza mbege na wanzuki hapo Rau madukani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…