Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahahahaa😅😅😅😅we jamaa umemtukana sana Johnthebaptist khaa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaa😅😅😅😅we jamaa umemtukana sana Johnthebaptist khaa!!
Bado kuna nafuuUna wazungumziaje panya road na hiki wanacho fanya kwa sasa , ajari za kila mara na maiti zinazookotwa kwa sasa maoni yako ni yapi ?
Ni uhalifu wa kawaida. Uzembe wa serikali kukomesha vitu kama hivyo.Una wazungumziaje panya road na hiki wanacho fanya kwa sasa , ajari za kila mara na maiti zinazookotwa kwa sasa maoni yako ni yapi ?
Hii kauli yako unaweza kuitamka mbele ya Mama na Baba wa Maria Basso ?Bado kuna nafuu
Kwa nini umekuwa mstari wa mbele kuitetea serikali ya Sasa juu ya hayo niliyo orodhesha lakini serikali iliyopita nayo imefanya ya mfanano na haya ya sasa upo mstari wa mbele kuilaani ?Ni uhalifu wa kawaida. Uzembe wa serikali kukomesha vitu kama hivyo.
Najua unataka kusema wakati wa magufuli hayakuwepo. It might be true, lakini kazi ya Panya Road na ajali ilifanywa na TISS, polisi , kuwafunga bila hatia watu, kuwabambia kesi etc etc. Heri uhalifu huu kuliko mtawala muuaji
Hii ya panya serikali ikiamua inaweza kukomesha maana ni watoto wetu wanatoka kwenye nyumbna zetu usiku na tunajua kuwa mtoto wangu hayupo ndani, hayupo night shift ya kazi ya usiku and the like..therefore most likely ni kibaka wa Panya road or whatewver.
Polisi hawajathibitishaHii kauli yako unaweza kuitamka mbele ya Mama na Baba wa Maria Basso ?View attachment 2357763
siitetei, nailaumu sana , tena siipendi kabisa, nayo inakiuka haki za binadamu. Ila sitaki mauaji ya kisiasa! Sitaki risasi za kisiasa kama za Lisu. magufuli was not a human being!Kwa nini umekuwa mstari wa mbele kuitetea serikali ya Sasa juu ya hayo niliyo orodhesha lakini serikali iliyopita nayo imefanya ya mfanano na haya ya sasa upo mstari wa mbele kuilaani ?
Huu ni uharifu wa kawaida ?View attachment 2357768
1. Kwa hiyo nyumbani kwa kina Maria walipo vamiwa ni waongo ?Polisi hawajathibitisha
Nani kasema hivyo?Kwa hiyo nyumbani kwa kina Maria walipo vamiwa ni waongo ?
Wewe unaweza kuthibitisha matukio yaliyo tokea serikali ya awamu ya tano yalifadhiliwa na magufuli ?
Yaliyo mengi na kauli zakeKwa hiyo nyumbani kwa kina Maria walipo vamiwa ni waongo ?
Wewe unaweza kuthibitisha matukio yaliyo tokea serikali ya awamu ya tano yalifadhiliwa na magufuli ?
Ila mauaji ya vijana, wafanya biashara wa madini, mapadre kwako hayana uzito Sana ?siitetei, nailaumu sana , tena siipendi kabisa, nayo inakiuka haki za binadamu. Ila sitaki mauaji ya kisiasa! Sitaki risasi za kisiasa kama za Lisu. magufuli was not a human being!
Cha muhimu ni kuwa KAFAPicha mnayomchora aonekane mtu mmbaya hata haichoreki! Msipaze mishipa kupambana na aliekwenda mnapoteza muda na nguvu
Nyie watu ni wajinga na wapumbavu wakubwa, kila siku mnabishana vitu vilevile na watu walewale. Kwa nn usibaki na msimamo wako na wao wabaki na msimamo wao?? Hata uweke comments 1000 hakuna namna utabadilisha wanachoamini. Acheni ujingaIla mauaji ya vijana, wafanya biashara wa madini, mapadre kwako hayana uzito Sana ?
Pili umejuaje kuwa hayo matukio alifanya magufuli ?
We jamaa unapenda kukuza mambo sana.Ila mauaji ya vijana, wafanya biashara wa madini, mapadre kwako hayana uzito Sana ?
Pili umejuaje kuwa hayo matukio alifanya magufuli ?
Huyo jamaa mwenzako namshangaaNyie watu ni wajinga na wapumbavu wakubwa, kila siku mnabishana vitu vilevile na watu walewale. Kwa nn usibaki na msimamo wako na wao wabaki na msimamo wao?? Hata uweke comments 1000 hakuna namna utabadilisha wanachoamini. Acheni ujinga
Msemaji wa familia.Nani kasema hivyo?
Hivyo ndivyo vithibitisho vyako ?Yaliyo mengi na kauli zake
Yana maana sana. Kauli za magufuli na matendo yake . Kwenye sheria wanasema hivi: in order to justify the inference of guilt, the inculpatory facts must be incompatible with the innocence of the accused and incapable of explanation, upon any other reasonable hypothesis than that of his guilt; sasa Jiwe anaangukia hapoIla mauaji ya vijana, wafanya biashara wa madini, mapadre kwako hayana uzito Sana ?
Pili umejuaje kuwa hayo matukio alifanya magufuli ?
Ujinga wangu uko wapi ?Nyie watu ni wajinga na wapumbavu wakubwa, kila siku mnabishana vitu vilevile na watu walewale. Kwa nn usibaki na msimamo wako na wao wabaki na msimamo wao?? Hata uweke comments 1000 hakuna namna utabadilisha wanachoamini. Acheni ujinga