Tumetoka pagumu kweye uvuli wa mauti, asante Mungu!

Tumetoka pagumu kweye uvuli wa mauti, asante Mungu!

Huwezi kumsahau katili aliyeua rafiki,

Jiwe alikuwa muuaji. Ndiyo maana hata aliyeko madarakani ameyabatilisha mengi yasiyo ya ubinadamu ya jiwe
mtoto wako, shangazi, mjomba ., mume, mke etc etc. Uko sahihi kabisa.

mkuu kama aliua mumeo na hujamaliza eda mpaka leo,nichukue nafasi huu kukushauri utafute bwana mwingine.

magufuli hachafuki kwa propaganda za kishamba hizi ambazo zina miaka zaidi ya mitano sasa.
 
Deliveries za coal so far zinaenda vema kwenye Ile address, Nina mpango ya kuongeza LNG
 
Tumetoka kwenye tanuru la mauti. Asante bwana Mungu kwa wema wako.
Msikilize "Mungu" wa Dunia wa 2015- 2021
na tunapoelekea ni pagumu zaidi hali ya maisha haitabiriki kila kukicha bei ya vitu inapanda na kipato cha mwananchi kimeshuka kwa matozo ya kipumbafu.
 
Chadema hamtamsahau Shujaa Magufuli aliyekata mirija yenu ya unyonyaji na utapeli
Sasa chadema wamenyonya nini na wapi wanyonyaji ni nyie wenye dola ambayo mnaitumia vibaya ccm ndio majizi makubwa nakumbuka kuna kigogo alikuwa anaihodhi ubungo bus terminal akawa analipa milioni moja tu kwà siku je huo sio unyonyaji?
 
Picha mnayomchora aonekane mtu mmbaya hata haichoreki! Msipaze mishipa kupambana na aliekwenda mnapoteza muda na nguvu
Mbwa lazima aitwe mbwa na shetani lazima aitwe shetani kamwe hawezi kuitwa vinginevyo.
 
Picha mnayomchora aonekane mtu mmbaya hata haichoreki! Msipaze mishipa kupambana na aliekwenda mnapoteza muda na nguvu
Tuliopotelewa na wapendwa wetu tutasema mpaka mwisho wa dunia. Ikibidi tunalipiza kisasi
 
Back
Top Bottom