Tumetoka pagumu kweye uvuli wa mauti, asante Mungu!

Tumetoka pagumu kweye uvuli wa mauti, asante Mungu!

Ujinga wangu uko wapi ?
Wewe na hao mnaobishana ni wajinga na wapumbavu. Unapoteza muda wa nn kuwaeleza yote hayo? Kwani hawayajui?

Wenzio hiyo ni mission, unavyozidi kupoteza muda kutaka kujadiliana nao ndio unavyozidi kuwapa mileage. Ukiwapotezea unapungukiwa na nn? Au unafikiri watakuelewa? Wote nyie mnaobishana ndio maana nawaita wajinga na wapumbavu wakubwa
 
Yana maana sana. Kauli za magufuli na matendo yake . Kwenye sheria wanasema hivi: in order to justify the inference of guilt, the inculpatory facts must be incompatible with the innocence of the accused and incapable of explanation, upon any other reasonable hypothesis than that of his guilt; sasa Jiwe anaangukia hapo
Kauli zake zilisema ataua watu ?
 
Nimesema huu ni uahlifu wa kawaida ni suala la serikali kukaza musuli kukomesha hawa vijana. Magufuylis era was characterized by politically motivated killings, abductions, torture, and the like
Kuua na kukatakata mapanga watu unasema ualifu wa kawaida akifanyiwa hivyo Baba au Mama yako utatoa hiyo kauli ?
 
Tumetoka kwenye tanuru la mauti. Asante bwana Mungu kwa wema wako.
Msikilize "Mungu" wa Dunia wa 2015- 2021
Wewe jamaa kuna jambo binafsi JPM alikutenda, kwa maana hata kama wengi walilia ila kilio chako kina uchungu wa ziada.
Pole sana mkuu.
 
Wewe jamaa kuna jambo binafsi JPM alikutenda, kwa maana hata kama wengi walilia ila kilio chako kina uchungu wa ziada.
Pole sana mkuu.
Hapana, mtu anayethamini uhuru wa binadmu, a freeman, we were born free, not objects of anyone! hawezi kumpenda Magufuli
 
Hao kina Mussolini walikuwa wauaji lakini hawamtaji taji MUNGU. Wengine walikuwa wauaji huku wakijigamba kumtanguliza MUNGU mberee! MUNGU naye akaona isiwe tabu enough is enough!
Mtawala yeyote ukikuta ana tumia jina la Mungu ujue ni Hatari sana huyo anahadaa watu na huku Afrika ukitaka uwakomeshe watu wee jiingize kwenye Dini maana huko wengi hawatumii Ubongo kufikiri so unawafanya unavyotaka
 
Wewe na hao mnaobishana ni wajinga na wapumbavu. Unapoteza muda wa nn kuwaeleza yote hayo? Kwani hawayajui?

Wenzio hiyo ni mission, unavyozidi kupoteza muda kutaka kujadiliana nao ndio unavyozidi kuwapa mileage. Ukiwapotezea unapungukiwa na nn? Au unafikiri watakuelewa? Wote nyie mnaobishana ndio maana nawaita wajinga na wapumbavu wakubwa
Sawa , sisi ni wajinga ingekuwa ni busara zaidi wewe mwenye akili kutokujihusisha na mijadala ya wajinga na wapumbavu Ila kitendo cha wewe kujihusisha na huu mjadala kina zihirisha kuwa na wewe ni miongoni mwa hao wajinga na wapumbavu.
 
Back
Top Bottom