PostGE2025 Tumetumia excessive force kusababisha vifo zaidi ya 800, je isingetumika excessive force madhara yangekuwaje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,818
Reaction score
14,585
Hata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.

Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu?

Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini kiwango cha uharibifu ni wizi wa mali binafsi, uchomaji miundombinu ya Mwendokasi, uharibifu wa vituo vya Polisi, TRA, Mahakama na Dawasa. What if Serikali ingetumia ile "reasonable force" na tukachukua siku 2 au 3 au wiki, tungekuwa na hali gani sasa hivi?
 
Sikuona washawasha wala mabomu ya machozi
 
Umewahi kujiuliza ingekuwaje kama serikali ya CCM ingefanya uchaguzi wa kweli usio wa maigizo au kiinimacho??
Umewahi kujiuliza ingekuwaje kama kusingekuwa na kukithiri watu kutekwa, kupotea pamoja na kupotezwa kiholela?
 
Vifo ni zaidi ya 10,000 na wengi wa hao waliouwawa hawakuwa kwenye maandamano wala vuru bali walikuwa majumbani kwao . Damu hizi zitamtafuna hiyo mama yenu Jezebel hadi siku anaingia kaburini .
 
Kwanini itumike excessive force?
Madai yao yanashindikanaje kutekelezwa?
1. Taifa litakuwa na athari gani kama tukiwa na katiba mpya?.
2. Tutapata athari ipi tukiwa na tume wanayopendekeza upinzani?.
3. Tutakuwa na athari gani kama wanaotuhimiwa na ufisadi wakitolewa katika mifumo ya serikali.
 
Umeongea sahihi kabisa, yaani watu badala ya kutibu tatizo mtu anakimbilia kutaka kutibu matokeo ya tatizo!!

You nailed it
 
Unavyoelezea kana kwamba polisi walikuwa wanakabiliana na watu wenye silaha, nguvu kubwa imetumika watu wasio na silaha na athari yake imesababisha muwaji kwa wengi ambao hawakuwa wakijihusisha na hayo maandamano.
Angalia idadi ya mali iliyoharibika kwa muda mfupi halafu jiulize nini kilikuwa kinafuata?
 
Umewahi kujiuliza ingekuwaje kama serikali ya CCM ingefanya uchaguzi wa kweli usio wa maigizo au kiinimacho??
Umewahi kujiuliza ingekuwaje kama kusingekuwa na kukithiri watu kutekwa, kupotea pamoja na kupotezwa kiholela?
Yes hili nalo ni swali zuri, linahitaji majibu
 
Vifo ni zaidi ya 10,000 na wengi wa hao waliouwawa hawakuwa kwenye maandamano wala vuru bali walikuwa majumbani kwao . Damu hizi zitamtafuna hiyo mama yenu Jezebel hadi siku anaingia kaburini .
Hiyo 10,000 ni overstatement. Hata wanaosema 3,000 pia siamini
 
Kwanini itumike excessive force?
Madai yao yanashindikanaje kutekelezwa?
1. Taifa litakuwa na athari gani kama tukiwa na katiba mpya?.
2. Tutapata athari ipi tukiwa na tume wanayopendekeza upinzani?.
3. Tutakuwa na athari gani kama wanaotuhimiwa na ufisadi wakitolewa katika mifumo ya serikali.
Bahati mbaya waliandamana bila mabango, bila kiongozi. Wakaishia kuanza kuchoma mali za watu
 
Kwanini hujajiulilza kama reforms za kweli zingefanyika na kukomeshwa wizi, ufisadi, utekaji nchi ingefika hapo?

Je hiyo nguvu ilitumikaje hadi watoto waliopo katika academy ya mpira nao wakapigwe risasi?

View: https://x.com/scout_viral/status/1985375147142852959?t=YzhXNPGTbjhXa6nFBLRyJw&s=19

Wapi pameandikwa kisheria zitumike risasi za moto kwa waandamanaji wasio na silaha?

Hapo lazima walioua watu wawajibike hakuna sarakasi mtapiga mueleweke vinginevyo mjiandae kwa maandamano mengine makubwa zaidi.
 
Kwanini itumike excessive force?
Madai yao yanashindikanaje kutekelezwa?
1. Taifa litakuwa na athari gani kama tukiwa na katiba mpya?.
2. Tutapata athari ipi tukiwa na tume wanayopendekeza upinzani?.
3. Tutakuwa na athari gani kama wanaotuhimiwa na ufisadi wakitolewa katika mifumo ya serikali.
Mkubwa! Hapa umemaliza kila kitu.
 
Back
Top Bottom