pbTanzanBoy
Member
- Jan 17, 2024
- 30
- 40
POlisi Wana vifaa vya kudeal na waandamanaji bila kuuliwa kwa watu. Heck kama unashindwa kudeal na ' unarmed ' protestors bila kuua. Basi mafunzo yako nibure
Pia tuna jeshi kwenye kila mkoa. Kila mkoa kaka yangu. Ambayo tunawalipa wanveweza kutuliza Amani.
Kwanini unatetea wauaji. Mimi sikielewi. Unashida ya akili au. Unashindwa kuprocess kosa hapo. Hii sio marekani. Wananchi hawana silaha. Fikiria