Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 1,033
- 2,307
Hebu jiulize kungekuwa na uchaguzi huru na hakiHata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.
Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu?
Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini kiwango cha uharibifu ni wizi wa mali binafsi, uchomaji miundombinu ya Mwendokasi, uharibifu wa vituo vya Polisi, TRA, Mahakama na Dawasa. What if Serikali ingetumia ile "reasonable force" na tukachukua siku 2 au 3 au wiki, tungekuwa na hali gani sasa hivi?
Jiulize tungepata mabadiliko kwanza kabla ya uchaguzi
Jiulize kusingekuwa na kutekwa tekwa watu
Jiulize viongozi wangekubali kukosolewa na kubadilika
Jiulize chadema wangeruhusiwa kushiriki uchaguzi
Hebu jiulize kusingekuwa na mikataba mibovu kama DP WORLD
Nani angeandamana?