Sikuona washawasha wala mabomu ya machoziHata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.
Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu?
Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini kiwango cha uharibifu ni wizi wa mali binafsi, uchomaji miundombinu ya Mwendokasi, uharibifu wa vituo vya Polisi, TRA, Mahakama na Dawasa. What if Serikali ingetumia ile "reasonable force" na tukachukua siku 2 au 3 au wiki, tungekuwa na hali gani sasa hivi?
Umewahi kujiuliza ingekuwaje kama serikali ya CCM ingefanya uchaguzi wa kweli usio wa maigizo au kiinimacho??Hata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.
Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu?
Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini kiwango cha uharibifu ni wizi wa mali binafsi, uchomaji miundombinu ya Mwendokasi, uharibifu wa vituo vya Polisi, TRA, Mahakama na Dawasa. What if Serikali ingetumia ile "reasonable force" na tukachukua siku 2 au 3 au wiki, tungekuwa na hali gani sasa hivi?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Umewahi kujiuliza ingekuwaje kama serikali ya CCM ingefanya uchaguzi wa kweli usio wa maigizo au kiinimacho??
Umewahi kujiuliza ingekuwaje kama kusingekuwa na kukithiri watu kutekwa, kupotea pamoja na kupotezwa kiholela?
Vifo ni zaidi ya 10,000 na wengi wa hao waliouwawa hawakuwa kwenye maandamano wala vuru bali walikuwa majumbani kwao . Damu hizi zitamtafuna hiyo mama yenu Jezebel hadi siku anaingia kaburini .Hata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.
Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu?
Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini kiwango cha uharibifu ni wizi wa mali binafsi, uchomaji miundombinu ya Mwendokasi, uharibifu wa vituo vya Polisi, TRA, Mahakama na Dawasa. What if Serikali ingetumia ile "reasonable force" na tukachukua siku 2 au 3 au wiki, tungekuwa na hali gani sasa hivi?
Umeongea sahihi kabisa, yaani watu badala ya kutibu tatizo mtu anakimbilia kutaka kutibu matokeo ya tatizo!!Umewahi kujiuliza ingekuwaje kama serikali ya CCM ingefanya uchaguzi wa kweli usio wa maigizo au kiinimacho??
Umewahi kujiuliza ingekuwaje kama kusingekuwa na kukithiri watu kutekwa, kupotea pamoja na kupotezwa kiholela?
Angalia idadi ya mali iliyoharibika kwa muda mfupi halafu jiulize nini kilikuwa kinafuata?Unavyoelezea kana kwamba polisi walikuwa wanakabiliana na watu wenye silaha, nguvu kubwa imetumika watu wasio na silaha na athari yake imesababisha muwaji kwa wengi ambao hawakuwa wakijihusisha na hayo maandamano.
Yes hili nalo ni swali zuri, linahitaji majibuUmewahi kujiuliza ingekuwaje kama serikali ya CCM ingefanya uchaguzi wa kweli usio wa maigizo au kiinimacho??
Umewahi kujiuliza ingekuwaje kama kusingekuwa na kukithiri watu kutekwa, kupotea pamoja na kupotezwa kiholela?
Akikujibu nitagUmewahi kujiuliza ingekuwaje kama serikali ya CCM ingefanya uchaguzi wa kweli usio wa maigizo au kiinimacho??
Umewahi kujiuliza ingekuwaje kama kusingekuwa na kukithiri watu kutekwa, kupotea pamoja na kupotezwa kiholela?
Hiyo 10,000 ni overstatement. Hata wanaosema 3,000 pia siaminiVifo ni zaidi ya 10,000 na wengi wa hao waliouwawa hawakuwa kwenye maandamano wala vuru bali walikuwa majumbani kwao . Damu hizi zitamtafuna hiyo mama yenu Jezebel hadi siku anaingia kaburini .
Bahati mbaya waliandamana bila mabango, bila kiongozi. Wakaishia kuanza kuchoma mali za watuKwanini itumike excessive force?
Madai yao yanashindikanaje kutekelezwa?
1. Taifa litakuwa na athari gani kama tukiwa na katiba mpya?.
2. Tutapata athari ipi tukiwa na tume wanayopendekeza upinzani?.
3. Tutakuwa na athari gani kama wanaotuhimiwa na ufisadi wakitolewa katika mifumo ya serikali.
Jibu sasaYes hili nalo ni swali zuri, linahitaji majibu
Mkubwa! Hapa umemaliza kila kitu.Kwanini itumike excessive force?