Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 1,033
- 2,307
Hebu jiulize kungekuwa na uchaguzi huru na hakiHata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.
Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu?
Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini kiwango cha uharibifu ni wizi wa mali binafsi, uchomaji miundombinu ya Mwendokasi, uharibifu wa vituo vya Polisi, TRA, Mahakama na Dawasa. What if Serikali ingetumia ile "reasonable force" na tukachukua siku 2 au 3 au wiki, tungekuwa na hali gani sasa hivi?
💯Umewahi kujiuliza ingekuwaje kama serikali ya CCM ingefanya uchaguzi wa kweli usio wa maigizo au kiinimacho??
Umewahi kujiuliza ingekuwaje kama kusingekuwa na kukithiri watu kutekwa, kupotea pamoja na kupotezwa kiholela?
Kwahiyo kwa mbinu za jeshi la polisi likaona ili kuzuia huo uhalibifu wa mali suluhisho ni kuuwa wananchi hovyo bila kujali yupi anahusika na asiyehusika? Yani kwamba wananchi wote wakageuka ni wahalifu mbele ya uso wa polisi na mbinu pekee ya kuzuia hao wahalifu ni kuwauwa?Angalia idadi ya mali iliyoharibika kwa muda mfupi halafu jiulize nini kilikuwa kinafuata?
Kwani mngeruhusu uchaguzi huru na haki na chadema iweke mgombea unadhani nani angeandamana wakati wangeenda kumalizia hasira kwenye sanduku la kura!!Hiyo pia ni njia ya kutibu tatizo
Hata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.
Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu?
Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini kiwango cha uharibifu ni wizi wa mali binafsi, uchomaji miundombinu ya Mwendokasi, uharibifu wa vituo vya Polisi, TRA, Mahakama na Dawasa. What if Serikali ingetumia ile "reasonable force" na tukachukua siku 2 au 3 au wiki, tungekuwa na hali gani sasa hivi?
Athari ipo , wataondolewa madarakaniKwanini itumike excessive force?
Madai yao yanashindikanaje kutekelezwa?
1. Taifa litakuwa na athari gani kama tukiwa na katiba mpya?.
2. Tutapata athari ipi tukiwa na tume wanayopendekeza upinzani?.
3. Tutakuwa na athari gani kama wanaotuhimiwa na ufisadi wakitolewa katika mifumo ya serikali.
Ndio maana hua nasisitiza serikali iwajibike katika hili,
Kama serikali ingewajibika ipasavyo, utawara bora wa sheria haki na ustawi wa jamii...
Kusingekuwa hata harufu ya maandamano.
Sasa wewe unavyoona nini kilipaswa kizibitiwe kwanza ni maandamonon na waandamanaji au chanzo cha maandamono!?
Na hicho chanzo cha maandamano unadhani ni nini!?
Mkuu hayo maandamano yalishakatazwa na polisi hivyo hata wasinge haribu mali ila wakabeba tu mabango bado wangekutana na nguvu ya polisi.Bahati mbaya waliandamana bila mabango, bila kiongozi. Wakaishia kuanza kuchoma malinza watu

Tusiongee past tenseHebu jiulize kungekuwa na uchaguzi huru na haki
Jiulize tungepata mabadiliko kwanza kabla ya uchaguzi
Jiulize kusingekuwa na kutekwa tekwa watu
Jiulize viongozi wangekubali kukosolewa na kubadilika
Jiulize chadema wangeruhusiwa kushiriki uchaguzi
Hebu jiulize kusingekuwa na mikataba mibovu kama DP WORLD
Nani angeandamana?
Tungefika wapi kama wale watu wangeendelea siku 2Kwahiyo kwa mbinu za jeshi la polisi likaona ili kuzuia huo uhalibifu wa mali suluhisho ni kuuwa wananchi hovyo bila kujali yupi anahusika na asiyehusika? Yani kwamba wananchi wote wakageuka ni wahalifu mbele ya uso wa polisi na mbinu pekee ya kuzuia hao wahalifu ni kuwauwa?
Bado sijaelewa kwanini waliona njia pekee ya kukabiliana na mhalifu asiye na silaha ni kumuuwa na sio hata kumpiga risasi ya miguu?
Waliokufa ambao hawakuwa kwenye maandamano ni less than 30%, usizidisheKuna watu ni kama mpo nusu kaputi!
Zaidi ya 90% ya waliowawa hawakuwa kwenye maandamano barabarani.
Maeneo ambayo polisi walijikita na kuzuia maandamano tu hivyo vifo vingi havipo mf Kahama!
Huwezi kuwa serious!Waliokufa ambao hawakuwa kwenye maandamano ni less than 30%, usizidishe
Tatizo mkuu shida iliyokuwepo polisi hawakuwa waki deal na hao watu tu ambao walikuwa wakifanya uhalifu bali wao walikuwa wanatembeza shaba hovyo bila kujali ni katika wahalifu au rai tu mwema.Tungefika wapi kama wale watu wangeendelea siku 2
Hata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.
Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu?
Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini kiwango cha uharibifu ni wizi wa mali binafsi, uchomaji miundombinu ya Mwendokasi, uharibifu wa vituo vya Polisi, TRA, Mahakama na Dawasa. What if Serikali ingetumia ile "reasonable force" na tukachukua siku 2 au 3 au wiki, tungekuwa na hali gani sasa hivi?
Hebu ongelea suala la kuchomwa kwa vituo vya Mwendokasi Dar es SalaamTatizo mkuu shida iliyokuwepo polisi hawakuwa waki deal na hao watu tu ambao walikuwa wakifanya uhalifu bali wao walikuwa wanatembeza shaba hovyo bila kujali ni katika wahalifu au rai tu mwema.
Sasa hapo mkuu hata wewe utaweza kweli kusema kwamba hicho walichokifanya polisi ndio kilihitajika ili kuzuia huo uhalifu?
Katika hili suala polisi waliacha jukumu la kulinda usalama wa raia na wakageuka kuwa maadui wa raia wema.