pbTanzanBoy
Member
- Jan 17, 2024
- 30
- 40
Unavyoongea ni kama nyumba na biashara zote za kila wananchi zingechomwaAngalia idadi ya mali iliyoharibika kwa muda mfupi halafu jiulize nini kilikuwa kinafuata?
Ccm ilitikisika sana enzi zile ndio maana JPM alipiga marufuku shughuli za kisiasa isipokuwa kwa chama chake tu.Embu imagine tu ule uchaguzi wa Lowassa vs JPM ulikua na tension nyingi sana ila hatukuona haya yanayotokea leo.
Sheikh majini anakusalimia kutoka kuzimu mkuuHata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.
Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu?
Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini kiwango cha uharibifu ni wizi wa mali binafsi, uchomaji miundombinu ya Mwendokasi, uharibifu wa vituo vya Polisi, TRA, Mahakama na Dawasa. What if Serikali ingetumia ile "reasonable force" na tukachukua siku 2 au 3 au wiki, tungekuwa na hali gani sasa hivi?
Niongelee vp?Hebu ongelea suala la kuchomwa kwa vituo vya Mwendokasi Dar es Salaam
Unapotosha idadi ya vifo Kwa faida nani? Idiot!Hata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.
Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu?
Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini kiwango cha uharibifu ni wizi wa mali binafsi, uchomaji miundombinu ya Mwendokasi, uharibifu wa vituo vya Polisi, TRA, Mahakama na Dawasa. What if Serikali ingetumia ile "reasonable force" na tukachukua siku 2 au 3 au wiki, tungekuwa na hali gani sasa hivi?
Unaongea hivyo kwa vile mabazazi hawakukupitiaPOlisi Wana vifaa vya kudeal na waandamanaji bila kuuliwa kwa watu. Heck kama unashindwa kudeal na ' unarmed ' protestors bila kuua. Basi mafunzo yako nibure
Pia tuna jeshi kwenye kila mkoa. Kila mkoa kaka yangu. Ambayo tunawalipa wanveweza kutuliza Amani.
Kwanini unatetea wauaji. Mimi sikielewi. Unashida ya akili au. Unashindwa kuprocess kosa hapo. Hii sio marekani. Wananchi hawana silaha. Fikiria
Kuna justification gani kuchoma nyumba ya mwana CCM? Unatumia akili au matako kufikiri?Unavyoongea ni kama nyumba na biashara zote za kila wananchi zingechomwa
Biashara , Mali na nyumba zilizochomwa zilikuwa za wanaccm.
Wale waliokuwa wanataka advantage of the system
Kibanda changu road kilitolewa kikawekwa barabarani dahhUnavyoongea ni kama nyumba na biashara zote za kila wananchi zingechomwa
Biashara , Mali na nyumba zilizochomwa zilikuwa za wanaccm.
Wale waliokuwa wanataka advantage of the system
Uwezi kuelewa kwa sasa ipo siku ambayo waislamu mtatengwa kabisa na uongozi ndiyo mtakumbuka faida ya kutumia akili ......kwa sasa nyinyi ni maanithi wa akili ..Kumbe ASAS ni kampuni kubwa Iringa ambayo ina deal na mifugo na kilimo. Kwa hiyo inatengeneza bidhaa za maziwa na kutoa ajira kwa wana Iringa.
Sasa unataka nini zaidi ya hapo? Au ulitaka nchi iwe na maskini watupu??
Mimi ni chistian from RC church, Dar es Salaam diocese, BikiraMaria wa Huruma parish, Mbezi BeachUwezi kuelewa kwa sasa ioa siku ambayo waislamu mtatengwa kabisa na uongozi ndiyo mtakumbukq faida ya kutumiq akili ......kwa sasa nyinyi ni maanithi wa akili ..