Tumeumbwa kwa mfano wa Mungu - hakuna mtu asiyependa kusifiwa

Sikumbuki ni kitabu gani lakini nakumbuka kinasema, Baada ya kumuumba Adam, na alikaa akamuona adam akiwa mpweke ndiyo plan ya kumuumba hawa/Eva ikaja.

Hivyo kwa muktadha huo huwa naamini Eva hakuwa kwenye mpango wa kuumbwa alikuja tu kumpoza Adam, lakini sema adam naye hakuwa na reference ya kuwajua wanawake basi akaingia kichwa kichwa ndiyo mpaka sasa anapuyanga sijui hata yuko wapi kwa sasa.
Tafuta app ya Biblia Google Play u-download, zipo nyingi za bure, ili uwe unasoma na kuwa na uhakika wa maneno unayoongea. Vinginevyo kuna hatari ya kuwa miongoni mwa waongo. Na waongo mbinguni hawaingii.
Ufu 21:8
Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
 
Hahaha kutishana tena, stori za vijiweni huwa hazina reference yoyote, tunapiga story hizi kila siku corner yangu pale, wasomi na wasiosoma tuna storilize hakuna kutishana kama hivi, mtu analeta story yoyote na kila mtu anachangia bila noma wala nini na life inasonga.
 
Kumbe! Basi ni kwa sababu ulikuwa hujui. Sikutishi. Uongo ni dhambi. Kwa sababu hiyo
Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia(Mathayo 3:2)
 
Si hatusemi uongo tunapiga story tunasubiri ugali tule tulale. We unataka kuwa serious kama mwalimu wa chekechea.
 
Uongo ni uongo tu hata kama unauita story. Kwani hujui kuna vitabu vingi vya story za uongo? Wakati mnasubiri ugali pigeni story za kweli zipo nyingi tu.
 
JF hakuna mitihani wala reference ya maandiko humu, huwa tunapitia uzi tuna tambaa kidizin, sijaona story humu iko cited popote kuondoa mashaka ya wasomaji, ni tunapitia kama ilivyo, ukiipenda unakaa huipendi unapita basi, yani siyo serious kiivyo unavyotaka wewe.
 
Imeandikwa katika kitabu cha Mathayo 5:44-45
"Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki."
Setfree aisee haya sasa mbona Bwana Mungu anaua adui zake tena .?

Ina maana yeye hawezi kupenda?

Which is which ?

Tushike kipi tuache kipi?
 
kwahiyo yule mama yao naye ni mungu sasa maana anatajwa na kusifiwa kuliko kiumbe kingine chochote hapo nchini kwenu
 
Setfree aisee haya sasa mbona Bwana Mungu anaua adui zake tena .?

Ina maana yeye hawezi kupenda?

Which is which ?

Tushike kipi tuache kipi?
Mungu alitupenda kiasi cha kumtoa Mwana wake wa pekee Yesu afe msalabani ili sisi tusamehewe(Yn 3:16). Hakuna upendo mkuu zaidi ya huo. Wanaoukataa upendo huo na wokovu wa Yesu ndio watakaoangamizwa
 
Hayo ni mashart hata kwa mganga yapo . Wokovu wa Yesun upi na mama ake hakuokoka hata kifo?
 
Back
Top Bottom