Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
kwa sasa huwezi hata ku download hiyo vpnWale wanao pata shida ya Internet mnashauriwa ku download proton VPN then una install na una opt sehemu ya free make kuna kulipia.
Fanyeni hivyo CCM walisha slow down internet
haiji ikoje niwekee picha screenshotdownload vpn kwa app store au play store, ina logo ya pembe tatu ya kijani then unachagua nchi utakayo basi unajiachia freeeeeeeeeeeeeeee
Ikishindikana Google Play nenda kaidownload direct kutoka kwenye website yaokwa sasa huwezi hata ku download hiyo vpn
Kama wana slow speed ya internet, VPN haisaidii.kwa sasa huwezi hata ku download hiyo vpn
Sawa Zuzu mwenzangu nimetumia imekubali[emoji847]Tumia VPN wewe,kila ukiambiwa kuwa CCM ni mashetani huelewi upo upo tu kama Zuzu!
Wenye IOs naona vpn zote znazngua
Kabisa mkuu me nashindwa download iyo vpn. Play store ina load tukwa sasa huwezi hata ku download hiyo vpn
Hivi ile Dec 9 1961 tulipata uhuru ganiKabisa mkuu me nashindwa download iyo vpn. Play store ina load tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Niko zangu Canada kwa sasaNipo zangu South Africa.
Nainjoy maisha.
watawajaza wote huko..Nasikia kutumia VPN ni kinyume cha Sheria.
Watu wataishia kunyea ndoo
Wasap nayo haifany kazi[emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23]Niko zangu Canada kwa sasa
Pole itakuwa sasa wamezidi Mimi nilivoingia JF nikasoma ku download hyo vpn,nikafanya chap hyo asubuhi, sasa hivi wote wanaojaribu inawagomeaMie hata hiyo play store haitaki kufunguka [emoji36][emoji16][emoji16] najiungaje sasa mmh
Hatukupata uhuru wowote.Hivi ile Dec 9 1961 tulipata uhuru gani
Thank you so much brother [emoji120][emoji120][emoji120] hiii UFO VPN ni nouma [emoji817]Jiwe anazidi kupoteza kura TWITER HAIFUNGUKI.
SELIKALI ILIPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA VPN.
MIMI NIIONA NI SELIKALI YA KISHETANI SASA NATUMIA UFO VPN INADOWNLOAD HADI DAMU.
TUMIENI UFO VPN.
JIWE LIKOME
Usiwadanganye watz wasiojua mawasiliano hakuna huduma ya ufo vpn free Africa labda baadhi ya nchi za ulaya huko. Vikosi vya ulinzi na usalama viko alert kwa lolote na lazima vione viashiria vya kuleta vurugu Bado mapema na baadhi mitandao ya kijamii huwa ndiyo chanzo
Kila mmoja atimize wajibu wake wewe nenda kapige kura na wacha vikosi vya usalama vifanye kazi zake mpaka kuapishwa kwa Rais Mteule hapo November