Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afande selle umeibuka tena? Hii mibange yako ni bora ukajinyonga!Alaumiwe Mungu aliyewaumba maana aliwajua hata kabala hajawaumba,kama ndivyo hao viumbe hawana kosa lolote.
AiseeUkiangalia masimulizi yake ameonekana akitumia silaha ya upanga kupambana na maadui, Kama angekuwepo hata bom lingemtosha
Aisee umemaliza..Suala la Adam na Eva ni suala la hatma nusu ambayo inahitaji utendaji nusu ikamilike kuwa jinai.....Yani Adam na Eva walizaliwa na hiyo hatma lakini walipewa uwezo wa kuishinda hatma yao na wao wakashindwa kuishinda hatma ya kumsaliti Muumba wao.....
Maisha yetu wote yapo hivyo tunaumbwa na hatma zetu ziwe nzuri au mbaya.....mfano mtu anaumbwa na hatma ya kuwa kiongozi bora na baadae anakuwa kiongozi, lakini katika uongozi wake anakuwa muuaji na kinyume cha maadili ya uongozi na maandiko huyu mtu atakufa kifo kibaya au ataenda mahali pabaya sababu ameruhusu hatma mbaya nusu ishinde hatma yake nzuri nusu....
Hatma zetu ni saa na chungwa nusu, iwe kwa ubaya au uzuri na tunaishi kuitafuta nusu nzuri au nusu mhaya inayoweza kutuokoa au kutumaliza kabisa na hatna mbaya
Dah hapo sasa 😂😂Hata hivyo kwa nini binadamu wote tuhukumiwe kwa makosa yao ambayo hayatuhusu?
Huyo Musa na Adamu walikutana lini na wapi?Hata kwenye Uislam Vivyo hivyo, Bali hadithi inaeleza Musaa alimwomba M/Mungu amletee Adam kwa Ajili majadiliano nae ina ilikuwa in term of miracle Ufufuo tu wa part time.
Kweli kabisa, kwa wanadamu Eva ndo kaanzisha zoezi la kuleta dhambi duniani, lakini vipi kama Adam angekataa kula lile tunda na Eva hivi maisha yangekuwaje hapo!!!!Namlaumu Eva kwa kukubaliana na nyoka kuchapa lile tunda.
Aisee kweli hili swala lina angle nyingi za kulidadavuaKwanza nyoka hana kosa mungu wa biblia na qurani ndo mwenye makosa. Baada ya nyoka kutuona tukitembea uchi kama hayawani akatuonea huruma sana ndipo akampa eva maarifa kwani adamu kichwa yake alikuwa haweZi kupokea knowledge.
Baada ya kula tunda wakapata akili kuwa wako uchi ndipo wakajistiri tupu zao kwa majani. Swali langu. kama adamu kaubwa mfano wa mungu kwanini mungu alikuwa akifurahi adamu kutembea uchi bustanini? Wewe utafurahi kumuona kichaa akitembea uchi? Hata kama huna cha kumsaidia nafsi yako itaona hiki sio kitu kizuri na pengine utamwonea huruma kichaa huyo.
Kwanini mungu aliona ni sawa eva kutembea uchi bustanini. Alikuwa anawafanyanini wakiwa uchi hapo mpaka nyoka wa watu akawaonea huruma na kuwapa elimu ya maarifa ya kujitambua? Kumbuka walikuwa hawana akili ya kujua zuri na baya au mema na mabaya Chochote wakifanyiwa waliona ni sawa.
Na kwanini mungu alivyoona adam ana akili ndo akampa nguo. Swali kama yeye mungu wq bible nguo alikuwa nazo siku zote kwanini hakumpa adamu na eva bali aliamua kuwacha uchi hadi nyoka alipoona hii sio sawa?
Source kitabu cha mwanzo.
Ni kweli hii ni option nzuri ambayo nadhani hata sasaivi inaweza kutekelezeka sababu muumba ni muweza wa yote, arudishe time nyuma Eva na nyoka wafanye maamuzi mazuri this time tuje kuishi maisha mazur na sisi kizazi chetu kikifika. Lakini kwanini option hii haijatekelezwa?Irudiweee [emoji23][emoji23] huenda Hawa akawa anajielewa this time!
Anyway hii mijadala inavuruga sana akili
Nakuomba uje na Uzi tafadhari unaoelezea plan of salvation.Kwa mm mkristo naamini kwenye kitu kiitwacho "Mpango wa Uokovu"...(Plan of salvation).
Ambao unaanzia kule mbinguni kabla misingi ya ulimwengu bado haijawekwa.
Ambao wote tulikua kule na MUNGU lakini tulikua kwenye mfumo wa roho.(hatukua na miili).
Binadamu wote ambao wamezaliwa,walizaliwa na watakaozaliwa walikuwepo katika mfumo huo tajwa na moja ya roho zilizokuwepo ni Adam,mussa,lucifer,Yesu,mm,ww ndugu msomaji na kila mtu ambae ana mwili wa nyama na mifupa kwa sasa.
Ndo mana ilikua Rahisi kwa MUNGU kusema Jeremia utakua Nabii, fulani utakua hivi ni sababu tulikua nae na tulikua tunajifunza na kila mtu alikua ana potential zake.
Sio coincidence leo mtu anazaliwa anakua muimbaji mfano jide, rubi etc,au mtu anakua soccer player kama samatta na wengine wengi wenye vipaji tofauti tofauti.
To cut the long story short ni kwamba kwenye huu mpango kila kitu tulikubaliana na kilipangwa mfano Adam kukengeuka,yesu kusalitiwa,shetani kuasi, etc.
So MUNGU anajua kila kitu....sisi baada ya kuzaliwa tumepita kwenye kitu kiitwacho "Veil"..ambacho kime erase kumbukumbu zetu zote za kilichotokea kabla hatujazaliwa.
Naomba maelezo ya kina hapa kwenye maelezo yako haya chini;Kwa mm mkristo naamini kwenye kitu kiitwacho "Mpango wa Uokovu"...(Plan of salvation).
Ambao unaanzia kule mbinguni kabla misingi ya ulimwengu bado haijawekwa.
Ambao wote tulikua kule na MUNGU lakini tulikua kwenye mfumo wa roho.(hatukua na miili).
Binadamu wote ambao wamezaliwa,walizaliwa na watakaozaliwa walikuwepo katika mfumo huo tajwa na moja ya roho zilizokuwepo ni Adam,mussa,lucifer,Yesu,mm,ww ndugu msomaji na kila mtu ambae ana mwili wa nyama na mifupa kwa sasa.
Ndo mana ilikua Rahisi kwa MUNGU kusema Jeremia utakua Nabii, fulani utakua hivi ni sababu tulikua nae na tulikua tunajifunza na kila mtu alikua ana potential zake.
Sio coincidence leo mtu anazaliwa anakua muimbaji mfano jide, rubi etc,au mtu anakua soccer player kama samatta na wengine wengi wenye vipaji tofauti tofauti.
To cut the long story short ni kwamba kwenye huu mpango kila kitu tulikubaliana na kilipangwa mfano Adam kukengeuka,yesu kusalitiwa,shetani kuasi, etc.
So MUNGU anajua kila kitu....sisi baada ya kuzaliwa tumepita kwenye kitu kiitwacho "Veil"..ambacho kime erase kumbukumbu zetu zote za kilichotokea kabla hatujazaliwa.
hzi kitu ukzama kw ndn kuna kuchoshan akil kuna njanj mwing hapa bila kutmia akil vzr utayumb snUzi wa WAPAGANI naona mmeitana.
endeleeni kujadili ujinga wenu
Zab 53:1 SUV
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.
Mt 11:25-26 SUV
Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako.
Sawa mkuu asante kwa mchangoHii ndio kanuni ya kiroho iliyopo na inayotumika kutuokoa pia.kwa kuasi mtu mmoja Adamu wote tukahesabiwa hatia tumekosea na laana ya kifo ikatupata lakini pia kwa matendo ya haki ya mtu mmoja Yesu ambaye ni mwana wa Adam tukahesabiwa haki yake kuwa tunastahili kuishi na kupokea kipawa cha uzima wa milele kwa iman.
Siyo kila jambo ni mpango wa Mwenyezi Mungu!Ulikua ni mpango wa Mungu.
"Yesu ambae ni mwana wa Adam" !!!???Hii ndio kanuni ya kiroho iliyopo na inayotumika kutuokoa pia.kwa kuasi mtu mmoja Adamu wote tukahesabiwa hatia tumekosea na laana ya kifo ikatupata lakini pia kwa matendo ya haki ya mtu mmoja Yesu ambaye ni mwana wa Adam tukahesabiwa haki yake kuwa tunastahili kuishi na kupokea kipawa cha uzima wa milele kwa iman.