Lkn ndiye aliyewatoa TP MAZEMBE!!!!??Tumeingia mkenge kwa huyu kocha, afadhali Mgunda angeacgwa amalizie msimu wa ligi.
Huyu ataleta msururu wa majina ya wachezaji anaowataka na asipopatiwa timu ikafanya vibaya atajitetea nilihitaji hawa wachezaji hamkunipatia.
Kumbe kocha mwenyewe kafundisha mpaka Gor Mahia!
Mazembe wamechokaLkn ndiye aliyewatoa TP MAZEMBE!!!!??
Atafukuzwa mara baada ya Kariakoo DerbyHabari Wana JF
Kama title inavyojieleza hapo, kutokana na ugumu wa NBC league ilivyo Kwa makocha wengi especially wa Simba kushindwa kutoboa/ kupata mafanikio kama inavyotarajiwa.
Binafsi kocha wa Simba Nampa miezi miwili tu [emoji1] [emoji1] Baada ya hapo atafukuzwa
Je! una mpa siku ngapi za kocha wa Simba Kufukuzwa
Hujuw mpira wwTumeingia mkenge kwa huyu kocha, afadhali Mgunda angeacgwa amalizie msimu wa ligi.
Huyu ataleta msururu wa majina ya wachezaji anaowataka na asipopatiwa timu ikafanya vibaya atajitetea nilihitaji hawa wachezaji hamkunipatia.
Kumbe kocha mwenyewe kafundisha mpaka Gor Mahia!
We hesabu tu siku ngapi zimebaki mpaka kufikia mechi kati ya Simba na YangaHabari Wana JF
Kama title inavyojieleza hapo, kutokana na ugumu wa NBC league ilivyo Kwa makocha wengi especially wa Simba kushindwa kutoboa/ kupata mafanikio kama inavyotarajiwa.
Binafsi kocha wa Simba Nampa miezi miwili tu [emoji1] [emoji1] Baada ya hapo atafukuzwa
Je! una mpa siku ngapi za kocha wa Simba Kufukuzwa
Pale Kwa makolo....vituko havijawahi ishaPapaa Mgunda akiomba radhi kuhusina na alichoongea kubakiza mechi 2 kwenye mashindano ya Mapunduzi!
View attachment 2470698