Tumpe siku ngapi za kufukuzwa kocha mpya wa Simba

Tumeingia mkenge kwa huyu kocha, afadhali Mgunda angeacgwa amalizie msimu wa ligi.

Huyu ataleta msururu wa majina ya wachezaji anaowataka na asipopatiwa timu ikafanya vibaya atajitetea nilihitaji hawa wachezaji hamkunipatia.

Kumbe kocha mwenyewe kafundisha mpaka Gor Mahia!
Lkn ndiye aliyewatoa TP MAZEMBE!!!!??
 
Habari Wana JF

Kama title inavyojieleza hapo, kutokana na ugumu wa NBC league ilivyo Kwa makocha wengi especially wa Simba kushindwa kutoboa/ kupata mafanikio kama inavyotarajiwa.

Binafsi kocha wa Simba Nampa miezi miwili tu [emoji1] [emoji1] Baada ya hapo atafukuzwa

Je! una mpa siku ngapi za kocha wa Simba Kufukuzwa
Atafukuzwa mara baada ya Kariakoo Derby
 
Tumeingia mkenge kwa huyu kocha, afadhali Mgunda angeacgwa amalizie msimu wa ligi.

Huyu ataleta msururu wa majina ya wachezaji anaowataka na asipopatiwa timu ikafanya vibaya atajitetea nilihitaji hawa wachezaji hamkunipatia.

Kumbe kocha mwenyewe kafundisha mpaka Gor Mahia!
Hujuw mpira ww
 
Habari Wana JF

Kama title inavyojieleza hapo, kutokana na ugumu wa NBC league ilivyo Kwa makocha wengi especially wa Simba kushindwa kutoboa/ kupata mafanikio kama inavyotarajiwa.

Binafsi kocha wa Simba Nampa miezi miwili tu [emoji1] [emoji1] Baada ya hapo atafukuzwa

Je! una mpa siku ngapi za kocha wa Simba Kufukuzwa
We hesabu tu siku ngapi zimebaki mpaka kufikia mechi kati ya Simba na Yanga
 
Papaa Mgunda akiomba radhi kuhusina na alichoongea kubakiza mechi 2 kwenye mashindano ya Mapunduzi!

Back
Top Bottom