Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #41
Lkn ndiye aliyewatoa TP MAZEMBE!!!!??Tumeingia mkenge kwa huyu kocha, afadhali Mgunda angeacgwa amalizie msimu wa ligi.
Huyu ataleta msururu wa majina ya wachezaji anaowataka na asipopatiwa timu ikafanya vibaya atajitetea nilihitaji hawa wachezaji hamkunipatia.
Kumbe kocha mwenyewe kafundisha mpaka Gor Mahia!