Kwanza kabisa Me sio mshabiki wa chama chochote Cha siasa na Sina mpango wa kupoteza muda wangu kupiginia vyama ambavyo wameweka maslahi yao mbele kuliko maslahi ya Uma Bora muda wangu nipoteze kwa kuangalia movie angalau ninaweza kujifunza kitu kuliko kushabikia vyama vya kitapeli ndio maana nskushangaa wewe kuwekeza muda mwingi kwenye vyama vya siasa unapoteza bando lako upati kitu chochote zaidi ya kupoteza muda.Wenzako Kama Tumaini Makene,Hamphram polepole,John mnyika siasa Ni kazi yao na wanalipwa sio mbaya Kama wao watatetea matumbo yao kwasababu wanafaida ila sio wewe