Tumpe Zuchu kura za ndio na WCB Wasafi

Tumpe Zuchu kura za ndio na WCB Wasafi

Nimeona uzi una restrictions nyimbo zingine tusisikilize za huyu binti kipindi hiki cha kupiga kura za MTV.[emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo ndio utaelewa kwanini Lady Jaydee amekuwa katika mziki kwa muda mrefu na amekuwa na impact kubwa kwa wasanii wa kike kuingia katika mziki.

Ila wanasahau kufata nini ili wabaki kwa muda mrefu kwa tasnia kama Jide.
 
Alipokuwa anabagua Watanzania wenzake kwa kuwaombea mabaya mlimwambia kuna siku atawahitaji? Hili ombi peleka hapo Lumumba sisi wapinzani tumeshateteleka kama alivyotuombea hatuna hata bando la kutuwezesha kupiga kura.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeeh sana lol
 
Back
Top Bottom