pole kwa maumivu ya maisha ulochaguaDada mbona kama hueleweki? Watu wanaweka nyimbo zake ili wajue ukali wa zuchu na kushawishi kupiga kura, imeandikwa SUKARI na hiyo WAPINZANI WATETEREKE lakini naona kama hiyo ya wapinzani huitaki
zuchu hana kosa lolote kuchagua anachokipenda na inshallah Mungu atamsaidia ataipata......., ni wewe tu nikupe pole kwa kuteseka na vitu ambavyo havitakaa vibadili maisha yakoMalipo ni hapa hapa Duniani.
Ukilima bangi usitegemee kuvuna maharage.
Kwamba Dua lake la wazi kwa upinzani limesahaulika?
Tujifunze kwa makosa.
Hivi Zuchu anatoa ile kitu tumpigie kura? Rayvanny naye anakubali kushikishwa ukuta tumchague?ingia kwenye link kisha vote
MTV
Television's destination for premium entertainment and storytelling, with original scripted and non-scripted series.www.mtvmama.com
jamani mjitaidi kuvote ata kama uwapigii wengine akikisha umempigia mate wangu zuhura aka zuchu
category ni breakthrough act
View attachment 1683345
View attachment 1683346
View attachment 1683353
zuchu hana kosa lolote kuchagua anachokipenda na inshallah Mungu atamsaidia ataipata......., ni wewe tu nikupe pole kwa kuteseka na vitu ambavyo havitakaa vibadili maisha yako
Jibu takatifu kabisa Hili.zuchu hana kosa lolote kuchagua anachokipenda na inshallah Mungu atamsaidia ataipata......., ni wewe tu nikupe pole kwa kuteseka na vitu ambavyo havitakaa vibadili maisha yako
Wapinzani wanakulipa sh ngapi? au una nafasi gani ya uongozi kwenye hivyo vyama vya upinzani?Maombi yenu kama haya muwe mnakumbuka mliko peleka mboga.
Huku kwingine mnapoteza muda tu.
Mara hii tu tumeshazisahau kweli zile dua zenu mbaya?
Au nasema uongo ndugu zangu?
Wapinzani wanakulipa sh ngapi? au una nafasi gani ya uongozi kwenye hivyo vyama vya upinzani?
Nasikiliza wimbo wake hapa, you're the one.Kuna pisi inaitwa Elaine ndiyo nimempa kura
Kwanza kabisa Me sio mshabiki wa chama chochote Cha siasa na Sina mpango wa kupoteza muda wangu kupiginia vyama ambavyo wameweka maslahi yao mbele kuliko maslahi ya Uma Bora muda wangu nipoteze kwa kuangalia movie angalau ninaweza kujifunza kitu kuliko kushabikia vyama vya kitapeli ndio maana nskushangaa wewe kuwekeza muda mwingi kwenye vyama vya siasa unapoteza bando lako upati kitu chochote zaidi ya kupoteza muda.Wenzako Kama Tumaini Makene,Hamphram polepole,John mnyika siasa Ni kazi yao na wanalipwa sio mbaya Kama wao watatetea matumbo yao kwasababu wanafaida ila sio weweHaki haihitaji malipo. Ila haya mnayowaombea pelekeni Lumumba.
Bila kuwatia adabu hawa na siku nyingine watarudia.
"Acheni kunyea kambi."
Mlisha acha mavi kwenye kambi mnayotaka kurejea. Mtajihifadhi vipi sasa?
Kwani kwenye hizo kura za kwenye mabegi hamruhusiwi kwenda kuzipenyeza?
Pole wewe unaehangaika kujipendekeza kwa zuchupole kwa maumivu ya maisha ulochagua
Mbona wewe unatetea tumbo la shoga yako zuchu?Kwanza kabisa Me sio mshabiki wa chama chochote Cha siasa na Sina mpango wa kupoteza muda wangu kupiginia vyama ambavyo wameweka maslahi yao mbele kuliko maslahi ya Uma Bora muda wangu nipoteze kwa kuangalia movie angalau ninaweza kujifunza kitu kuliko kushabikia vyama vya kitapeli ndio maana nskushangaa wewe kuwekeza muda mwingi kwenye vyama vya siasa unapoteza bando lako upati kitu chochote zaidi ya kupoteza muda.Wenzako Kama Tumaini Makene,Hamphram polepole,John mnyika siasa Ni kazi yao na wanalipwa sio mbaya Kama wao watatetea matumbo yao kwasababu wanafaida ila sio wewe
Sasa hapo nimetetea nini?Mbona wewe unatetea tumbo la shoga yako zuchu?
Kwann wanawake hampendani kabisa?Chuchu bila kiki za WCB wa kawaida mno