Kwann wanawake hampendani kabisa?
Hivi watu wanapata faida gani kwa hawa wasaniiHeeeh! Vipi tena jamani kwani huturuhusiwi tena kusikiliza nyimbo ya huyu binti?
Mleta uzi kesho watambunulia birian na maji ya pangani tuWamekulipa bei gani?
Huyo anaweza kuwa ndiyo zuchu mwenyewe.Pole wewe unaehangaika kujipendekeza kwa zuchu
Ataambulia vijembe wakati wa kampeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeeh sana lolAlipokuwa anabagua Watanzania wenzake kwa kuwaombea mabaya mlimwambia kuna siku atawahitaji? Hili ombi peleka hapo Lumumba sisi wapinzani tumeshateteleka kama alivyotuombea hatuna hata bando la kutuwezesha kupiga kura.
Alaine anajua yuleeeeh lol.Kuna pisi inaitwa Elaine ndiyo nimempa kura