Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Shida hapa bongo CDM Wana vote kwa huyu wa Ghana na wakenya pia.... Pia huyu wa Ghana ana vote nyingi Sana kutoka Nigeria Jambo ambalo ni tishio kwa mpinzani wake. Bado naona Magufuli anayo nafasi ya kufanya vizuri
 
Jamaa kawa kituko duniani.Kauza sura kila mtu anatamani kumsikia ama kumuona juzi nilikuwa nchi jirani aiseee wanamkubari wapo tayari wamkodi hata kwa miezi 10 na issue iliyompa popularity ni issue ya COVID 19
 
Matusi ni ishara ya kukosa hoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chadema wajinga sana!

Hapo walipo yule wa South Afrika ana 0.80% na wa Senegal ana 0.40% sasa huoni Magu yuko juu sana?

Alafu mkimpigia yule wa Ghana ndio Lisu anakuwa rais ee?
 
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Africa wa mwaka...
Kiukweli magufuli hafai kabisa na Kama atashinda hao wanaoendesha hiyo vote waje wawaulize watanzania halisi ambao ndio sisi Yani magufuli atakuwa amepimwa kwa vigezo vipi Kama hapa ndani 90% ya watanzania hawamkubali? Labda kura zimepigwa na Siro pekee maana hata jw hawapendi huu upuuzi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…