Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau na uuaji wakeSifa zake, uthubutu wake, umahiri wake wa kuongoza, Imani Kali Sana Kwa Mungu wake, zinavuma kote duniani
Ni wivu wa kijinga Kwa mtu yeyote atakayemnyima Kura!!
Spana zinaendelea huko Jamhuri ya Twira.Si mchezo.Jana usiku na mapema leo asubuhi alikuwa anaongoza kwa zaidi ya asilimia 90. Imekuwaje tena amekuwa na 56?
mimi haifunguki naomba update kwa % nani anaongozaHii ya zamani kwa sasa Tanzania imeamka watakoma sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chadema wajinga sana!
Hapo walipo yule wa South Afrika ana 0.80% na wa Senegal ana 0.40% sasa huoni Magu yuko juu sana?
Alafu mkimpigia yule wa Ghana ndio Lisu anakuwa rais ee?
Nyie si wataalam wa ushindi? Tumieni style mliyo tumia kushinda uchaguzi wa Tanzania[emoji859][emoji859]Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka....
Kidume kinaongoza.Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka...
Kiukweli magufuli hafai kabisa na Kama atashinda hao wanaoendesha hiyo vote waje wawaulize watanzania halisi ambao ndio sisi Yani magufuli atakuwa amepimwa kwa vigezo vipi Kama hapa ndani 90% ya watanzania hawamkubali? Labda kura zimepigwa na Siro pekee maana hata jw hawapendi huu upuuzi wake.Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Africa wa mwaka...
Kidume wa mama yacoKidume kinaongoza.
Duuu!Mbuzi mamako
Wewe unakubali ukweli?Acha kulalama, ukweli haukanushwi kwa povu, bali ni kwa kukubaliana nao ili upate amani moyoni mwako.
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Na bado haija saidia. Ulaghai wenu mwisho Dodoma pale NEC, Ila ukweli ndio huo kuwa pamoja na wote kupiga Mara ishirini 20 bado SAA 11 alfajiri hii mambo yanazidi kuwa magumu.
X 20......... Mtu mmoja! Tabia huwa haifi.
CCM na wizi wa kura ni kama chupi na makalioX 20......... Mtu mmoja! Tabia huwa haifi.
Mamamake,, alifikri na huko kuna akina Wilson! Nyoko kabisaaaa!!Na bado haija saidia. Ulaghai wenu mwisho Dodoma pale NEC, Ila ukweli ndio huo kuwa pamoja na wote kupiga Mara ishirini 20 bado SAA 11 alfajiri hii mambo yanazidi kuwa magumu.View attachment 1667052