Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka...
WENZAKE WAMESHATANGULIA MBELE YA HAKI, IDD AMINI, BOKASSA , NGUEMA NA WENGINEO
 
Magufuli hajawahi kushindwa, huyo wa Ghana anaongoza tu kama ilivyo kawaida ya mchezo
 
Never siwezi poteza muda sina moral authority. pamoja mikono kuwa damu bado tu?
 
Kuingia kwake kwenye kinyanganyiro inanipa tafsiri moja tu, nayo ni ukosefu wa viongozi Africa wanaonawirisha democracy.
Ni rahisi kumwona Rafiki yako ni mtu Bora Sana kushinda nduguyo wa Damu kisa alikuonya na kukukemea pindi ulipotaka kutoka kwenye mstari!!

Ndivyo inavyokuwaga, wewe unapoona Magufuli hafai kuwa miongoni mwa wanaotakiwa kuchuana kwenye kinyang'anyiro cha Rais Bora Africa wengine wananamwona ni Lulu ya Africa!
 
Lakini Lumumba imejaa hadi usiku wanapiga kura! Tunaelewa hata vyuo vikuu mmeenda! Mkishinda kwa kulazimisha itajulikana na mtaaibika kupita kiasi. Waondoe ile sifa ya kudumisha utawala bora na demokrasia ile aweze kufit!
 
Kampigie wewe na mke wako.
 
Afrika tuna ombwe kubwa sana la uongozi yani mwizi wa kura, mbambikia kesi , mtekaji na muuaji ,mminya demokrasia na vyombo vya habari yupo kwenye kinyang'anyilo Cha best political leaders in afrika
Kwanza ungejiuliza ni chombo gani kinachoendesha hizo kura?

Ni gazeti tu kama Tanzanite la Musiba, tuzo ni zile za Mo Ibrahim.
 
Magufuli hajawahi kushindwa, huyo wa Ghana anaongoza tu kama ilivyo kawaida ya mchezo
Kwenye ubunge wa Biharamuro alipigwa na Phares Kabuye ndio sababu hapendi kabisa uchaguzi na akahakikisha Chato linakuwa jimbo kutoka Biharamuro na tangu apate ubunge kupitia jimbo la Chato amehakikisha anapita bila kupingwa miaka yote.
 
Kwenye ubunge wa Biharamuro alipigwa na Phares Kabuye ndio sababu hapendi kabisa uchaguzi na akahakikisha Chato linakuwa jimbo kutoka Biharamuro na tangu apate ubunge kupitia jimbo la Chato amehakikisha anapita bila kupingwa miaka yote.
Toa ushahidi mkuu
 
Ndugu Paulo, kwakweli kwenye hili la kuifanya demokrasia ishamiri, Magufuli si miongoni mwao. Labda kingekuwa kinyanganyiro cha ujenzi wa miundo mbinu kura yangu angeipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…