Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Umesoma vigezo kwenye hyo tuzo? Je magu anafiti?
 
Umesoma vigezo kwenye hyo tuzo? Je magu anafiti?
Hivi mtu akiona hana vigezo kwenye category husika si anaweza kuomba akajitoa au akawaomba waandaaji wamtoe? Ni ndoto tu zimenijia kabla sijalala
 
Ilitakiwa asiwemo kabisa kwenye mchuano, sema tu Africa bado tuna hali mbaya sana ktk utawala bora hadi Magufuli anakuwa considered.
Wanayofanya viongozi wengi wa Afrika ndiyo yale yale waliyokuwa wanayafanya wazungu
 
Kwenye ubunge wa Biharamuro alipigwa na Phares Kabuye ndio sababu hapendi kabisa uchaguzi na akahakikisha Chato linakuwa jimbo kutoka Biharamuro na tangu apate ubunge kupitia jimbo la Chato amehakikisha anapita bila kupingwa miaka yote.
Kwani yeye kipindi hicho ndio alikuwa anagawa majimbo??

Tangu lini mgombea akawa na mamlaka ya kugawa majimbo??
 
Anae himiza tumpigie kura rais Magufuli awe kiongozi bora wa kisiasa Africa atushawishi anazo sifa. Zipi na mashindano hayo yana vigezo vipi vinavyoshindanishwa. Bila kujua vigezo tunalinganisha nini na nani.
 
Mara ya mwisho kumpigia Kura ya Aina yeyote Ile Mwanasiasa wa Afrika ilikuwa mwaka 2015. Toka hapo Sina mpango Wala sitarajii kuja kufanya hivo Tena,, Kuwaelewa wanasiasa wa Afrika inahitaji upungufu wa akili ya kujitambua.

Kila la kheri enyi wachumia wanasiasa, sie wananchi tupo mbashara na matokeo tu.
 
Hawa jamaa nao wahuni Kama wahuni wengine, Kuna baadhi ya device ukitumia unakuta thanks for voting wakati bado haujapiga KURA, na Kuna muda ukiingia hasa usiku hauipati hiyo link mpaka utumie VPN. Tumpigie KURA ikibidi kwa VPN wajue sisi ndo wataalamu wa hizi kazi πŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20210105-024053.png
    12.8 KB · Views: 1
Bado hali ni ngumu kwa upande wetu mkuu. Ghana ana 54 sisi tuna 44...labda ngoja tuone pakikucha
Wanatufanyia figisu. Usiku wanaipoteza link, tuwaambie watu watumie VPN. Sisi ndo wataalamu πŸ˜πŸ˜‚πŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…