Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Hata huku aliwabwaga kina Queen Sendiga na Hashimu Rungwe....lakini kwa Tundu Antipas Lissu ilibidi mabegi meusi yahusike.....so kuwabwaga hao wawili sio ishu.
Ishu ni je mabegi yatahusika kwa Nana Akufor Ado....
Hilo namuachia Mahela na Kaijage.
Unajifariji bure tu
 
ALiyeleta Vpn ndio huyo huyo mnayehangaika naye.

Mna akili za wapi-?????
 
Hahahaa naona wamekubiga ban kama yule msemaji wa serikali yenu kuke twitter akivyopigwa ban🤣🤣🤣
 
Waandaaji wa hiyo tuzo ni wapumbavu.
Magufuli hafai hata top 20. The worst dictator.
Labda angewekwa category moja na Kagame, Museveni, na yule wa Burundi ningempigia kura hata kwa kuazima simu za watu, maana hapo ndo anafit
Kwa akili zako za kichadema ndiyo unaona hivyo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu Paulo, kwakweli kwenye hili la kuifanya demokrasia ishamiri, Magufuli si miongoni mwao. Labda kingekuwa kinyanganyiro cha ujenzi wa miundo mbinu kura yangu angeipata.
Hata ya ujenzi wa miundombinu hastahili, hafikii hata robo ya miundombinu aliyojenga Kikwete. Propaganda tu na upigaji ndivyo vinatamalaki. Mbayaa zaidi anataka apige yeye peke yake na circle inayomzunguka, wengine ni maumivu kwa kwenda mbele..
 
Magufuli ni Rais bora anastahili sana, nimempa kura Yangu.
 
Mkuu,

Two days past the voting trail was in Magufuli favour, however as from yesterday 4th January 2021 the voting count down clobbered Magufuli shifting to Nana Akufo from Ghana. Today 5th January 2021 the trend reversed by gradual droppage from Nana Akufo with voting garnering to Magufuli with slight percentage gain. The competion is so tense whereas dvelopment and democratic supporters are overwhelmingly challenging to each other........as who is who for what and why......the yeballs and ears are spread aprt to hear and see what is elevating the spirit in favour.
 
Siwezi mpigia kura mtu eti tu kwa sababu "ni wa kwetu"...

Tunaaangalia sifa na vigezo kama anastahili kweli ama la...

John Pombe Magufuli ameshindwa vikubwa kwenye eneo zima la uongozi na utawala bora na kwa hakika kabisa hastahili hata chembe...

Kiongozi anayejitangaza kimabavu kuwa ni mshindi wa kura ktk uchaguzi wa kidemokrasia kwa kuwadhulumu wenzake anaanzia wapi kuwa kiongozi bora...?

Yeye abaki na Urais wake wa wizi, amalize muda wake na kusubiri hukumu yake tokana na matendo yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…