Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Unajifariji bure tuHata huku aliwabwaga kina Queen Sendiga na Hashimu Rungwe....lakini kwa Tundu Antipas Lissu ilibidi mabegi meusi yahusike.....so kuwabwaga hao wawili sio ishu.
Ishu ni je mabegi yatahusika kwa Nana Akufor Ado....
Hilo namuachia Mahela na Kaijage.