Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Unachosema ni sawa na hapa bongo ulinganishe kura za JPM na Rungwe,twende kwa hao wawili ambao wanachuana!JPM kakataliwa na watz wengi waliopiga kura!Kuthibitisha hilo nitaweka Poll hapa JF ambayo ni ya Tanzania halafu niweke hao washiriki watano halafu utaona mrejesho😁😁😁!Hata Lisu na Membe walifikiri kelele za twiter ndio zitawapa ushindi.
Kwa taarifa yako tu pamoja na kelele zenu zote mbona wamezidiana asilimia ndogo sana huku yule wa Saouth akiwa na 0.80%? Hii inakupa ujumbe gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha manajifariji kweli yani
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.
Hahahhaha... Hata Lisu alipoona kelele za twiter alifikiri tayari keahakuwa rais!Unachosema ni sawa na hapa bongo ulinganishe kura za JPM na Rungwe,twende kwa hao wawili ambao wanachuana!JPM kakataliwa na watz wengi waliopiga kura!Kuthibitisha hilo nitaweka Poll hapa JF ambayo ni ya Tanzania halafu niweke hao washiriki watano halafu utaona mrejesho[emoji16][emoji16][emoji16]!
Utawala huu wa kiibilisi hauwezi toboa!
Sisi tumewachagua kina Magu ndio wako ikulu wanapiga kazi kuibadiri tz iwe kama ulaya ambako mgombea wako kakimbilia.Na wewe na mataahira wenzako kwa nini mnashinda hapa kupiga debe la mtu wenu apigwe kura badala ya kutumia muda huo kuibadili Tanzania iwe kama ulaya kama mlivyoahidi wakati wa kampeni? Au umesahau huu uzi unahusu nini?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
U turn iliyotokea baada ya link kuwekwa hapa JF ni hatariiiii!Wabongo sio watu wazuri,hasa walioelimika!Hahahhaha... Hata Lisu alipoona kelele za twiter alifikiri tayari keahakuwa rais!
Yani unasema hiyo 10% aliyopata rais wa ghana ni watz kwa nini usiseme ni ya waghana?
Naweka Poll hapa JF ili uone kuwa wabongo wamepiga kura wapi!Wamwzidiana 10% kwanini unajiaminisha kwamba hiyo 10% ni ya watz na siyo ya waghana wenyewe?
Ujunga mzigo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani anateseka sasa? Sisi tupo Ikulu nyie mpo kwa Amsterdam. Haya nani anateseka hapo
Hawajielewi hawa! Ngoja tuendelee kupiga nao stori ila 2025 wakileta pua zao wanagongwa kama kawaida.[emoji23][emoji23][emoji23]
wapo Ufipa kwenye store
Nilimwambia USSR kadri alivyokuwa anapiga kampeni humu JF ndivyo kadri asilimia za Magufuli zilivyokuwa zinapungua.U turn iliyotokea baada ya link kuwekwa hapa JF ni hatariiiii!Wabongo sio watu wazuri,hasa walioelimika!
bora angekausha tu ikawa kura za kimyakimya maana sasa kumpita wa Ghana itakuwa kazi nzito. Akufo Nanaa Keshatutangulia kwa kura 12. Hivi ukitaka upige zaidi ya mara moja unafanyaje? Tupeane maujanjaNilimwambia USSR kadri alivyokuwa anapiga kampeni humu JF ndivyo kadri asilimia za Magufuli zilivyokuwa zinapungua.
Kila aliyegombea aligombea ili ashinde lakini mshindi ni mmoja tuu na ni rais John Pombe Magufuli
Ndoto za Tundu kuwa rais ni sawasawa na zilivyokua ndoto za Kingwendu kuwa mbunge, walioshiriki wakitamani kudharauliwa ila kura zilizowachagua hazikutosha
Mimi naona tumshukuru tuu kwa kushiriki, au nasema uongo Crimea?
Nana 55%Mwenye matokeo tafadhali aweke hapa tuone Magufuli kashinda kwa % ngapi!
Thubutu! Kwanza hawawezi kuruhusu hilo litokee maana aibu itakayowapata ni ya millennium!Ningependa haka ka utaratibu ka kubofya katumike pia kwenye chaguzi zetu, yaani hapa huwezi kuingia na begi au kutishia watu na vyombo vya dola.
Kwani kukosekana tume huru kunawaathiri tu bavicha na Cdm yao ?!. Siyo kuwa ni tatizo la taifa kukosa ustaarabu ktk democracy ?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi unajua kwamba malalamiko yenu yakikuwa ni juu ya tume huru?
Sasa huu muda unapoteza hapa kwanini usiwashauri na wale wajinga wenzio wa twiter muutumie kudai katiba mpya itakayounda tume huru ya uchaguzi? Au na 2025 mtakuja kulialia tena kama kawaida yenu kisha baada ya hapo mtaanza kuhangaika na ishu cheap kama hizi hadi 2030?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha kuweni na akili basi
Swala siyo kumnyanganya urais wake bali chuki zenu binafsi i.e mnamsema vibaya acheni kura ziamue basi
Aah, now you are talking. Lakini do you know why?Hahahhaha... Mkuu unachoshindwa kuelewa ni kwamba Magu kawatupa mbali sana south na senegal! Mbona hilo hamlioni.?
Magufuli hata asiposhika nafasi ya kwanza lakini ile kuwabwaga hadi south ni promo tosha kwake.