Mataifa ya Africa yako busy kujikwamua na umasikini wao!Ndio maana huoni wakifuatilia mambo ya nchi nyingine!Watu wanaotupa misaada huweka uangalizi wa masuala ya haki za binadamu na utawala bora kama masharti ya misaada yao!Hao wanaweza kuwa na uelewa mpana wa masuala yanayoendelea nchini!Mfano sasa kuna chanzo kipya cha mapato kupitia kwa DPP,watu wananunua uhuru wao baada ya kushindwa kuvumilia kukaa mahabusu wakisubiri upelelezi wa kesi zao kukamilika!Nchi za kiafrica hawajui haya mambo,lakini nje ya Africa yanafahamika sana!Ni kama wewe hapo,si rahisi mtu akikuuliza hapo ulipo nini kinaendelea Benin kwa sasa?So ikija suala la kupiga kura basi watu wa Benin wenyewe ndio watakaojua ya kwao zaidi kuliko wewe!Kura zilizomkataa Magufuli ni za Watanzania wenyewe!