Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Lissu na Magufuli ni Sawa na barabara ya vumbi na lami

Uchaguzi hata ungerudiwa Kesho, Lissu atabaki kuwa Lissu na Magufuli ataendelea kuwa Rais kama kawaida
Nje ya kina mahera usijidanganye mkuu, yako maeneo mpaka vijijini lissu na jpm walikuwa wanazidiana kura kati ya 10 mpaka 15 nje ya uchafuzi mkuu
 
Yani niteseke kisa magu anashika nafasi ya 2?

Na wasouth na senegal wafanyaje sasa?

MAGU yuko Ikulu, huo upigaji kura hasara zake ni zipi asipopata nafasi ya kwanza?

Naona unasema wabongo ndio wanamuangusha, ina maana unakubali ile hoja yenu kwamba dunia inajua tz hakuna democrasia ni dhaifu?
Dunia gani wakati mbinyo wote tumeuona?Wapiga kura ni waafrica!Wengi wao hawajui yanayojiri Tz!
 
Dunia gani?Shobo tu za waafrica wenzetu wasiojua mambo yetu ya ndani!Watz tukaamua kuwaonesha kuwa huyu mtu hafai kabisa!
Na yule wa south na senegal nao wasemeje sasa?

Mbona mnateseka sana?

Magu yupo hadi 2025 mtakapopokea kipigo kingine tena
 
Sasa dunia unayosemaga inajua Magu ni dikteta ni ipi?
Mataifa ya Africa yako busy kujikwamua na umasikini wao!Ndio maana huoni wakifuatilia mambo ya nchi nyingine!Watu wanaotupa misaada huweka uangalizi wa masuala ya haki za binadamu na utawala bora kama masharti ya misaada yao!Hao wanaweza kuwa na uelewa mpana wa masuala yanayoendelea nchini!Mfano sasa kuna chanzo kipya cha mapato kupitia kwa DPP,watu wananunua uhuru wao baada ya kushindwa kuvumilia kukaa mahabusu wakisubiri upelelezi wa kesi zao kukamilika!Nchi za kiafrica hawajui haya mambo,lakini nje ya Africa yanafahamika sana!Ni kama wewe hapo,si rahisi mtu akikuuliza hapo ulipo nini kinaendelea Benin kwa sasa?So ikija suala la kupiga kura basi watu wa Benin wenyewe ndio watakaojua ya kwao zaidi kuliko wewe!Kura zilizomkataa Magufuli ni za Watanzania wenyewe!
 
Na yule wa south na senegal nao wasemeje sasa?

Mbona mnateseka sana?

Magu yupo hadi 2025 mtakapopokea kipigo kingine tena
Wewe ndiye unayeteseka,sisi tunaangalia kura zinasemaje na nini tafsiri yake!
Magu awepo au asiwepo hainipunguzii kitu,naendelea na maisha kama kawaida!
 
Hahahhaha... Mkuu unachoshindwa kuelewa ni kwamba Magu kawatupa mbali sana south na senegal! Mbona hilo hamlioni.?

Magufuli hata asiposhika nafasi ya kwanza lakini ile kuwabwaga hadi south ni promo tosha kwake.
Jamaa yetu hakutakiwa kushindanishwa na viongozi wataarabu . Huyu alitakiwa ashindanishwe na watawala kina PK, M7, Dada, Mobutu, Bokassa etc . Pengine tungefurahia hata hiyo namba mbili
 
Kiukweli...kwa kukuza demokrasia hapana, Ila wangesema uchapakazi ningeunga mkono
 
Jamaa yetu hakutakiwa kushindanishwa na viongozi wataarabu . Huyu alitakiwa ashindanishwe na watawala kina PK, M7, Dada, Mobutu, Bokassa etc . Pengine tungefurahia hata hiyo namba mbili
Ndio ameshindanishwa sasa tena kawabwaga kina Sauth Afrika, hutaki kanywe sumu ufe au kimbilia ubelgiji
 
Wewe ndiye unayeteseka,sisi tunaangalia kura zinasemaje na nini tafsiri yake!
Magu awepo au asiwepo hainipunguzii kitu,naendelea na maisha kama kawaida!
Sasa kumbe unaumia kitu gani?

Huoni raha kwa Magu kumpita Sauth na senegal? Lisu angeweza wapi haya?
 
Mataifa ya Africa yako busy kujikwamua na umasikini wao!Ndio maana huoni wakifuatilia mambo ya nchi nyingine!Watu wanaotupa misaada huweka uangalizi wa masuala ya haki za binadamu na utawala bora kama masharti ya misaada yao!Hao wanaweza kuwa na uelewa mpana wa masuala yanayoendelea nchini!Mfano sasa kuna chanzo kipya cha mapato kupitia kwa DPP,watu wananunua uhuru wao baada ya kushindwa kuvumilia kukaa mahabusu wakisubiri upelelezi wa kesi zao kukamilika!Nchi za kiafrica hawajui haya mambo,lakini nje ya Africa yanafahamika sana!Ni kama wewe hapo,si rahisi mtu akikuuliza hapo ulipo nini kinaendelea Benin kwa sasa?So ikija suala la kupiga kura basi watu wa Benin wenyewe ndio watakaojua ya kwao zaidi kuliko wewe!Kura zilizomkataa Magufuli ni za Watanzania wenyewe!
Bado uko kwenye fikra za kitumwa ndio maana hata mgombea wako aliona option ya kwanza ni kukimbilia kwa Amsterdam
 
Hatuna shida na hizo kura tuko bize tunafanya maendeleo..
Naongea uongo ndugu zanguu
 
Jamaa yetu hakutakiwa kushindanishwa na viongozi wataarabu . Huyu alitakiwa ashindanishwe na watawala kina PK, M7, Dada, Mobutu, Bokassa etc . Pengine tungefurahia hata hiyo namba mbili
tatizO walioandaa shindano sio CHADEMA.
 
Back
Top Bottom