Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Watakujuaje kuwa umejiunga nao kiukweli? Ila angalia umewahi mmo kjjipendekeza kiasi kwamba tope lote ulilorusha kwa Nana Ado limerudi kwa unayemfagilia.
Tukichukua tu theluthi ya maoni yako dhidi ya unayemuombea kura na tuwapa wananchi waamue, huyu unayempigia chapuo anatolewa kwenye kinyang'anyiro.
 
Usimfananishe Nana na mtu asieweza hata kuongea sentensi mbili za kiingereza.

Mtu ananuka damu za watu unamfananisha na Rais wa Ghana?

Hebu ona aibu kidogo.
Bora huyo inafanya hayo kwa waghana huyu anafanya hayo kwetu. Haifai. Hivi unataka upanuliwe wapi ndio uridhike?
 
Ika huko Gana ambako anapata 55% wao wana siasa za kijinga sawa na tz eti?

Pointless kabisa.

I like this conversation..

Kuhusu hoja yako. Jibu ni HAPANA...

Bali wanapiga kwa sababu kiongozi wao ndivyo alivyo. Anazo sifa na vigezo vyote...

Ukipenda kufahamu, mimi Mtanzania nimempigia Nana Akufo pia...

NANA AKUFO asingekuwemo kwenye orodha ya wawania TUZO, na badala yake wakawemo watu kama Yoweri Museven, Paul Kagame, Nkurunzinza and the likes nisingesumbuka kupiga kura yangu maana hili lingekuwa shindano wezi na dictators kumtafuta mwizi na dictactor mkuu zaidi...!
 
Mbona huyo ni afadhali kuliko jiwe?
Trilion za Assaz ziko wapi/maelezo ya maana hakuna!
Assad kafukuzwa kihuni.
Wasiojulikana wameibuka enzi hii ya jiwe.
Uwajibikaji ni kwa kuangalia sura-lugora na polisi/sare.
Miradi kujengwa kwa fedha za nje akidanganya rti za ndani.
Fedha za faini kuingizwa ikulu kuepuka ukaguzi.
Uchafuzi akak.uchaguzi wa hovyo kuwahi kutokea.

SIONI SABABU/VIGEZO HATA VYA KUWEKWA KTK KINYANG'ANYIRO HICHO.
 
Mbona huyo ni afadhali kuliko jiwe?
Trilion za Assad ziko wapi/maelezo ya maana hakuna!
Assad kafukuzwa kihuni.
Wasiojulikana wameibuka enzi hii ya jiwe.
Uwajibikaji ni kwa kuangalia sura-lugora na polisi/sare.
Miradi kujengwa kwa fedha za nje akidanganya ni za ndani.
Fedha za faini kuingizwa ikulu kuepuka ukaguzi.
Uchafuzi aka.uchaguzi wa hovyo kuwahi kutokea.

Mkitaka Magufuli ashinde zuieni Watanzania kupiga kura.
 
Unamchora Jiwe,ulikuwa unamkosoa kila kukicha,saa hizi umeweka hadi namba ya simu.unataka akurushie na ya kutolea?
Njaa imekukamata hadi makalioni
Suphian Juma
 
Dr John Pombe Magufuli, the president of the United Republic of Tanzania as his leadership attributes started to shine as one of the best offspring, humble, sense of humour, creative & innovative, inquisitive and interactive with people of all background circles, determined, firm and reasonable, development aspirant focusing high, ready to take risk daring to challenge the impossibility in search for lasting solution for majority advantage is solemnly recognized from scratch tender age to the present reality.
1. Was the best pupil at Chato primary scholl;
2.Was the best student at Katoke seminary school;
3.Was the best student at Lake secondary school;
4.Was the best student at Mkwawa high school
5. Was the best colleagiate at Mkwawa college of education
6.Was the best teriary student at UDSM pursuing BSc. in Chemistry & Mathematics with education
7.Was the best teacher deployed at Sengerema secondary school for Chemistry & Mathematics
8.Was the best postgraduate student pursuing MSc majoring in Chemistry
9.Was the best Chemist employed by Nyanza Cooperative Union dedicated for quality oil production by Voil industry
10. Was the scholar carried out research on cashew nut shells that extrapolated on valuable by-products use pursuig a PhD in the same discipline
11. Was an member of parliament (MP) for Biharamulo east
12. Was a deputy minister of works
13. Was a minister of works
13. Was a minister of land and human settlement develpment
14. Was a minister of livestock and fisheries
15. President of the United Republic of Tanzania for the past five years with tangible output
16. Chairperson for the EAC
17. Chairperson for SADC
18. Re-elected as president for the United Republic of Tanzania for the second term of the fifth phase
19, He is a hybrid democratic & conservative on national norms, values and policies;
20. He is a true practitioneer on executive state administration for effective goals achievement
21. He always emphasize on theories being translated into practice with admirable and quality rating approved by majorty especially the disadvantaged low income earning citizens without margining the midlle and high class economy gearing prominent persons. (peasants,traders, hawkers, pastoralist, fishers, mining, transporting, construction, healh services, education service etc all are euqually treated ad have brotherhood interactions prevailed since the founder of the nation)
 
Kule hakuna gnu. Unaendelea kujidhalilisha rais shombo nani ampigie kura?
Alianza na zaidi ya 90% shuhudia mwenyewe alivyoporoka, ni kama ulivyoporomoka wewe dogo kwa kuramba mtamshi.
 
Acha kutudanganya.Wewe unaifahamu Ghana?Tuulize sisi.
 
Kapuuzi sana haka. Ndomaana walikavalisha shati la Lugola kubwa kama dera kalivyounga Juhudi

Saivi ndo kanajifanya kanamjua sana Magufuli kuliko hata Polepole na wakongwe wengine tunakachora tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…