Universal-soldier
Member
- Dec 27, 2020
- 43
- 70
Huyo nana si ndio huyu???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunachokisema hapa ni kuwa bora tumchague shetani tusiyemjua kuliko kumchagua shetani tunayemjua!Huko ghana kuna platform moja ambayo ni kama jamii forum huku. Nao wanasema bora wampe shetani kula kuliko huyo mzee akufoh. So mnayosema hapa wala hayashtui.
Chadema ndio wanataka kuwashusha chini akina Halima James Mdee badala ya kuwainua wakawatetee wananchi bungeni!Tija ya jumla ndio kipimo sahihi,
Kuwasomesha namba watu wako Ili wawe masikini ili uwatawale unakuaje bora.Bora ni kuwainua wa chini wapande juu na sio kuwashusha watu chini
Umeandika pumba tupu. Hivi una uhakika Magufuli ndio mtekaji???Tunachokisema hapa ni kuwa bora tumchague shetani tusiyemjua kuliko kumchagua shetani tunayemjua!Wengi wa Watanzania walio piga kura sio kwamba wanamjua Nana,ila wanamjua Magufuli!Kwa mtazamo huo,hicho ni kipimo kibaya sana kwa namna mtu asivyokupenda!
Kura yangu kwa Nana,maana JPM namfahamu kwenye demokrasia na uhuru wa kujieleza na masuala ya utawala bora si mtu sahihi!
Awamu yake wananchi wamepata mateso sana,hasa wanaomkosoa!Kubambikiziwa kesi,kuwekwa mahabusu,kupigwa risasi na kutekwa vilitawala sana miaka 5 ya JPM!
So siwezi kumchagua mtu mwenye sifa hizo,heri nichague nisiyemjua!
Watu wanafanya mzaha, viko vituo watendaji kata waliamrisha kura za lissu zipunguzwe apewe tanotano tu kila kituo.Kilichofanyika mwaka Jana ni uchafuzi mkuu Sio uchaguzi.Binafsi nimeshangaa jpm amekuwaje wa pili kwa afrika kwa utawala wa kidemokrasia?Huu ni ukweli mchungu watu hawataki kuukubali
Mbona ulimpigia ibilisi kura October 28 unataka umpigie ibilisi kura Mara ngapi?Mimi nipo radhi kumpigia kura ibilisi lakini sio huyo mtu
Wanawatetea vipi Hali wanabambikwa kesi,pigwa risasi,bambikwa,kamatwa kwa kutetea wananchiChadema ndio wanataka kuwashusha chini akina Halima James Mdee badala ya kuwainua wakawatetee wananchi bungeni!
Nakumbuka enzi Iddy Amini yuko kwenye ubora wake, wapambe wake walikuwa wanampa majina ya kumpaka mafuta kama ww. Hapa ulipo naona unaruadia mapambio waliyoimbiwa madictator miaka na miaka.Rais Magufuli ni nuru ya bara la Afrika!
Pascal yuko chuo kikuu cha Uongozi cha chama pale Kibaha ananolewa!
Wenzako waliohongwa waulize kwanini wewe hukuhongwa?Ana ubora gani?Labda wa kuhonga nyumba na vyeo kwa mahawala zake.
Hata shetani wapo wengi tu wanaompenda!Rais Magufuli ni nuru ya bara la Afrika!
Lile swali naona Jiwe alili mind vibaya sana,ndiyo maana Pascally uteuzi atausikia kwenye uhuru na mzalendoUkipata platform inahitaji dakika 5 za kuimba kwaya Ili kesho asubui uletewe v8 tumeona kwa mollel,bashe,mwigulu kwa uchache.Pasco ana cv zote ikiwemo kubebwa na kabila lkn ateuliwi lile swali alilouliza day one ndo lilimuharibia