Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tutampeleka Robert Amsterdam!
Hii imewakata, mpaka sasa ubao unasoma Ghana 53 Danganyika 41 na bado siku 2 tu. Tunaendelea kuhimizana kumpigia kura Nana Akufo Ado mwenye afadhali kuliko huyu dikteta aaiyefaa hata kwa kulumangia.
 
Wakamshonea oversize,
Mwenzake yule Eliah aliyekuwa akiimba kwaya akazawadiwa uafisa mtendaji,aongeze bidii atateuliwa ubalozi wa kijiji
 

Attachments

  • FB_IMG_1609741904810.jpg
    41.3 KB · Views: 1
Umeandika pumba tupu. Hivi una uhakika Magufuli ndio mtekaji???
Utaendelea kujifariji kwa comment kama hizi na member wenzio humu ndani usiporuhusu ufahamu wako ufanye kazi mpaka akili ikukae sawa.
Kama anabambikizia watu kesi kweupe,hayo mengine kwanini tusiamini anahusika?Kwanini wauwawe au kupigwa risasi au kupotezwa wakosoaji wake!
 
Best student wa college na university huitwa , chosen valedictorian.
 
Rais Magufuli ni mzuri kwenye adminstration na ni bora kabisa kwenye Leadership!

Hakuna wa kumshinda hapa Afrika hilo hata Antipas analifahamu!
Labda kidogo leadership, SIYO administration.Na Kama ni administration ni pure dictatorship administration.
 
Kule hakuna gnu. Unaendelea kujidhalilisha rais shombo nani ampigie kura?
Alianza na zaidi ya 90% shuhudia mwenyewe alivyoporoka, ni kama ulivyoporomoka wewe dogo kwa kuramba mtamshi.
Na akamwambie wazi waluomporomosha toka 90+ hadi 41+ ni Watanzania wanaoijua na kuipenda nchi yao.
 
Eti ni
Eti Mtanzania halisi,ukute ni mkimbizi wewe.Watanzania halisi ni wakweli na Wana utu.
 
Tangu juzi nataka nimwadhibu jiwe lakini kila nikifika sioni ile option ya kupiga kura.
Mfano check hapa nimetest tena lakini wapi japo nimeweka vpn
 
Umeandika pumba tupu. Hivi una uhakika Magufuli ndio mtekaji???
Utaendelea kujifariji kwa comment kama hizi na member wenzio humu ndani usiporuhusu ufahamu wako ufanye kazi mpaka akili ikukae sawa.

Wewe ndiye mjinga hasa maana kumbe hata huelewi maana ya uongozi...

Ni hivi, ukishakuwa kiongozi wa taasisi au kampuni au nchi, chochote kizuri au kibaya katika taasisi au kampuni au nchi hiyo, unakibeba wewe...

Naona hata huijui katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 kuwa inampa Rais mamlaka ya kifalme...

Kwa kukujengea ufahamu tu ni kuwa, hakuna kiongozi Tanzania wala maamuzi yoyote ktk government administration structure yanayoweza kufanyika pasipo baraka za Rais...!!

Hata ukitaka pesa za kuchimba kisima ktk mtaa wenu ni mpaka zipate idhini ya Rais. Akisema hakuna pesa, mtaa wenu mzima wote mtakufa kwa kukosa maji...

Kwa hiyo unapouliza swali la "....kwani Rais ndiyo mtekaji au ndiyo anapiga risasi raia wake...?", unakuwa unajaribu kuweka wazi ujinga wako wa kutokuelewa namna nchi inavyoendeshwa...

Hata hivyo jibu la swali lako ni: NDIYO yeye Rais ndiye anateka watu indirectly kwa maelekezo yake...!!!!

Pole sana kama ulikuwa hujui...
 
Yesu ruwa ni ww kweli
 
Mkuu Suphian Juma,

Despite your political affiliations and critic to the state administration as a patriotic Tanzanian on this matter you have nailed to the heart beat. Given the fact you are no longer bound by ACT Wazalendo ideology at present you have impartially capitalized your constructive views to influence the Tanzanians with personal hatred against his excellency Dr. John Pombe Magufuli to reverse touting in favour of the far held stick which won't give them relief when they mobilize the voters to down rate JM in the ongoing electronic polling process. Huo ndio uzalendo bila kujali i kiasi gani umathiriwa na utawala ulipo madarakani kwa matendo yako mwenyewe.
 
Mimi kama mtanzania nilimpigia rais wa Ghana.
 
Ngoja nimpigie kura mzee wetu labda atafurah na kutuzawadia ajira wadogo zetu wapate vibarua
 
Sasa hao wanaompa Magu badaya Sauth au Senegal maana yake nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…