Ana ubora gani?Labda wa kuhonga nyumba na vyeo kwa mahawala zake.
hv yule mtt aliemshitaki babake kwa kutaka kuuza shamba hakuwa mzalendoWabongo walivyo wa ajabu na walivo na chuki wanaweza wakaamua kuwapigia hao wawili wa mwisho kabisa ili nafasi ya kwanza ya pili na ya tatu zishikwe na watu wa mbali huko...kwa kweli huo sio uzalendo
Tunaanzaje kumpigia kura mtu anayesababisha tunalazimika kutumia VPN ndipo tuingie Twitter.Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.
Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo Magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana
USSRView attachment 1665817View attachment 1668303
amekuwa wapili sababu waafrika hatujitambuiWatu wanafanya mzaha, viko vituo watendaji kata waliamrisha kura za lissu zipunguzwe apewe tanotano tu kila kituo.Kilichofanyika mwaka Jana ni uchafuzi mkuu Sio uchaguzi.Binafsi nimeshangaa jpm amekuwaje wa pili kwa afrika kwa utawala wa kidemokrasia?
Magufuli ni Mtawala,mwenzie ni kiongozi,unajua tofauti hiyo inavyofanyakazi? Ado anaweza kuwa anapingwa sana kuliko magufuli,kwa kuwa tu Ado anaruhusu hilo litokee! Magufuli anaruhusu positive feedback tu,kwa hiyo ukiona kwenye media magufuli anapambwa sana ni kwa kuwa tu hicho ndicho anachoruhusu kifanyike,ila si uhalisia,mfano wamarekani na waingereza ndiyo wanaoongoza kwa maandamano ya kupingapinga mam o flani ya utawala wao,na hicho kinawafanya wazidi kuzipenda nchi zao,maana zinawapa haki hizo za kuwapinga hadharani,thubutu kwa magu!!Malizia yupi ni yupi?
Unatakwimu zozote kwamba wapiga kura wa hapo 95% ni watz?
mtatoboaje wakati kura yangu ipo kwa nanaMbona gap linazidi kuongezeka? Tutatoboa kweli?
mtatoboaje wakati kura yangu ipo kwa nanaMbona gap linazidi kuongezeka? Tutatoboa kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa mbona hueleweki?Nani anapiga kura kwenye hilo gazeti uchwara? Watanzania ndio tumehasishana kwa ajili ya ushabiki wa kisiasa, hivyo wanaomshabikia shetani wanampigia, wenye hofu ya Mungu wanampa Nana.
Kwa hiyo hatutoboi kabisa?...kuweni wazalendo jamani angalau ionekane na sisi tumeongoza. Si mnajua Rais ndiyo taswira ya nchi??mtatoboaje wakati kura yangu ipo kwa nana
hv ni nn maana ya uzalendo kumbe?Kwa hiyo hatutoboi kabisa?...kuweni wazalendo jamani angalau ionekane na sisi tumeongoza. Si mnajua Rais ndiyo taswira ya nchi??