Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Kuandaa uchaguzi tu ulio huru na haki kashinda eti Rais Bora- maajabu ya mwaka!!

Nenda Ghana Ukaone namna mifumo inavyofanya kazi kwa uhuru na haki - Si mahakama wa Bunge mambo Bravo.. mnastahili tuzo hii kwa kweli.
 
Wabongo walivyo wa ajabu na walivo na chuki wanaweza wakaamua kuwapigia hao wawili wa mwisho kabisa ili nafasi ya kwanza ya pili na ya tatu zishikwe na watu wa mbali huko...kwa kweli huo sio uzalendo
hv yule mtt aliemshitaki babake kwa kutaka kuuza shamba hakuwa mzalendo
 
Mnahangaika na kuhamasisha watu kupiga kura, kwani anachofanya MAGUFULI hakionekani? Wacheni awe rewarded kwa anachostahili. Kwanza hajawaomba mumuombee kura. Acheni umal_ya wa kisiasa, kujipendekeza pendekeza tuuuuuuuu
 
Natamani JPM apitie nyuzi hizi mwenyewe. JF ni kioo.
 
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.

Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora

Japo Magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana

USSRView attachment 1665817View attachment 1668303
Tunaanzaje kumpigia kura mtu anayesababisha tunalazimika kutumia VPN ndipo tuingie Twitter.
 
Watu wanafanya mzaha, viko vituo watendaji kata waliamrisha kura za lissu zipunguzwe apewe tanotano tu kila kituo.Kilichofanyika mwaka Jana ni uchafuzi mkuu Sio uchaguzi.Binafsi nimeshangaa jpm amekuwaje wa pili kwa afrika kwa utawala wa kidemokrasia?
amekuwa wapili sababu waafrika hatujitambui
 
Malizia yupi ni yupi?
Magufuli ni Mtawala,mwenzie ni kiongozi,unajua tofauti hiyo inavyofanyakazi? Ado anaweza kuwa anapingwa sana kuliko magufuli,kwa kuwa tu Ado anaruhusu hilo litokee! Magufuli anaruhusu positive feedback tu,kwa hiyo ukiona kwenye media magufuli anapambwa sana ni kwa kuwa tu hicho ndicho anachoruhusu kifanyike,ila si uhalisia,mfano wamarekani na waingereza ndiyo wanaoongoza kwa maandamano ya kupingapinga mam o flani ya utawala wao,na hicho kinawafanya wazidi kuzipenda nchi zao,maana zinawapa haki hizo za kuwapinga hadharani,thubutu kwa magu!!
 
Saa 12 dakika 39 leo j5 yamebakia msaa tu upiga kura ufunge.
 

Attachments

  • Screenshot_20210106-183914_Chrome.jpg
    Screenshot_20210106-183914_Chrome.jpg
    63 KB · Views: 2
Unatakwimu zozote kwamba wapiga kura wa hapo 95% ni watz?

Nani anapiga kura kwenye hilo gazeti uchwara? Watanzania ndio tumehasishana kwa ajili ya ushabiki wa kisiasa, hivyo wanaomshabikia shetani wanampigia, wenye hofu ya Mungu wanampa Nana.
 
Nani anapiga kura kwenye hilo gazeti uchwara? Watanzania ndio tumehasishana kwa ajili ya ushabiki wa kisiasa, hivyo wanaomshabikia shetani wanampigia, wenye hofu ya Mungu wanampa Nana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa mbona hueleweki?

Nimekuuliza unatakwimu zozote za kuonesha kwamba 95% wanaopiga kura ni watz na si wa ghana wala wasouth na senegal wala kenya?

Una takwimu?

Sasa kama ni gazeti uchwara una hangaika kupiga kura za nini wakati unajua ni nonsense?
 
inaonyesha ushawahi ishi ghana ila usikute your living in Ghana (tanzania) by experience of Google ndio ukaja na fact zako izo..
Vinginevyo prove hili
 
Back
Top Bottom