Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Mbona kitufe cha kupiga kura kwa huyo politician of the year hakipo? Au kura kwa hii category imeshafungwa? Nataka nimvhinjie mtu baharini!
 
Hongera kwa uchambuzi mahiri, uzalendo , kupenda Nchi na kufikiri nje ya boksi! JPM anatosha kiongozi bora Afrika 2020. Nana Kaiba kura Juzi tu Disemba 2020 watu wamepigana Bungeni.
 
Najua saa hii uko hapo kibarazani ikulu unachangia hapa jf. Nimecheka kwa nguvu. Nana Akufo ndio rais bora Afrika.
 
Waghana jana wameandamana na kuvamia Bunge Nana amewaibia kura wewe unamuona kiongozi bora ,wonders will never end!
Kawadanganye Lumumba, sjyo kweli. Hata hivyo mtu wenu keshashindwa na Rais wa Ghana. Angalia kura
 
Attachments

  • Screenshot_20210107-202149_Chrome.jpg
    75.8 KB · Views: 1
Kawadanganye Lumumba, sjyo kweli. Hata hivyo mtu wenu keshashindwa na Rais wa Ghana. Angalia kura
Sema anaongoza siyo kashinda, sina haja ya kumdanganya mtu yeyote! Nini kimetokea uchaguzi wa Ghana 2020 , na jana Bungeni?! Chuki binafsi na kukosa uzalendo zisitawale maisha yako mkuu.
 
Sema anaongoza siyo kashinda, sina haja ya kumdanganya mtu yeyote! Nini kimetokea uchaguzi wa Ghana 2020 , na jana Bungeni?! Chuki binafsi na kukosa uzalendo zisitawale maisha yako mkuu.
Uzalendo tafisiri ya Lumumba hainihusu. Chuki mmepandikiza nyinyi sasa ni majira ya mavuno.
Kura zinafungwa kesho, mpelekeni Siro na mabox ya kura na Mahela akatangaze matokeo mtu wenu akenue.
 
Najua saa hii uko hapo kibarazani ikulu unachangia hapa jf. Nimecheka kwa nguvu. Nana Akufo ndio rais bora Afrika.
Huyuhuyu ambae jeshi limevamia bunge kutuliza vurugu?
 
Waghana jana wameandamana na kuvamia Bunge Nana amewaibia kura wewe unamuona kiongozi bora ,wonders will never end!
Watanzania wakiibiwa kura wanaweza kuamdamna?
Mwizi mwenye kutumia polisi Demokrasia kwake ni Domokrasia. Mfano halisi unaushuhudia.
 
The point is Magufuli si mstawisha demokrasia bali mwaribifu wa demokrasia
 
Huyuhuyu ambae jeshi limevamia bunge kutuliza vurugu?
sasa si bora huyo anayevamia bunge kutuliza tu vurugu, huyu amekwenda mbali zaidi (usiniulize anawafanyaje labda ukiweza muulize Tundu Lisu!!!!).
 
Huyu ataiba kura hata za online atashinda tu hakuna haja kumpigia.
Safari hii atajua kuwa hajui. Uzuri mwizi mkishamjua haisumbui maana hata kumsogelea hamumsogelei asije kukuchomolea.
Akikukaribisha hata pipi huli maana yaweza kuwa madawa ya usingizi.
Nina uhakika hata JK, Majaliwa au hawa wanaomsifia majukwaani kama Mwigulu, Kabudi nk wamempa Nana Akufo kama sehemu ya kupunguza machungu yao.
 
But as how it stands, Nana Akufo is the best ever African leader in our generation, and we are proud of him. As a result he deserve to be a winner fullstop.
 
VOTE COUNTS AS FOR TODAY AT 21:00

Kesho tarehe 8/1/2021 saa 23:59pm ndiyo mwisho wa kupiga kura..

Wote ambao mnaamini JOHN P. MAGUFULI hajawahi kushinda uchaguzi kuanzia ubunge hadi Urais fairly and squarely tupige kura kwa wingi katika saa hizi takribani 24 zilizosalia tumkatae na dunia ijue hivyo kuwa wananchi wake mwenyewe wamemkataa...
 
Hamna kitu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…