Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Huo mda bora nikakatie maua yangu nje ya fance yanaweka msitu
 
Huku kwangu ma group 3 watu zaidi ya 500 wote wamepiga kwa John Pombe Magufuli tena wanamwita kipenzi cha waafrika na dunia
Hao wachache, pigeni hata laki moja, lakini kura yangu na washikaji zangu ziko Ghana muda mrefu.
 
Huyu mwandaaji hayuko fair hata kidogo, yahani anamuweka Akufo na Magufuli, kweli kweli kweli,......?????
 
Simba au yanga ukiwa inacheza na tiny ya taifa lingine kunawatu wanajitoa akili

Samatta alivyotoka Genk kwenda Aston Villa Kuna watu walijitoa akili

Samatta kutoka Aston Villa Kuna watu walijitoa akili

Bondia wa TANZANIA akipigana na wa taifa lingine akishinda oooh kapendelewa.

Jifunze kutengeneza heshima yako na familia yako automatically utakuwa umetengeneza heshima ya taifa lako

🔁🔁Ndo Mana wakenya🇰🇪 wanawadharau watanzania🇹🇿 wanawaita bogus📶.
 
Back
Top Bottom