LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Haahaa atatangazwa hashimu rungweBaada ya hapo nini kinafuata? Lisu anatangazwa rais?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaa atatangazwa hashimu rungweBaada ya hapo nini kinafuata? Lisu anatangazwa rais?
Acha kujifariji weweMagufuli hakupata urais kwaajili ya kushindanishwa na marais wengine ashinde asishinde haimuondolei urais wake wa Tanzania hata akishinda huyo Ado sisi haitusaidii.
Marais wangapi wa afrika wameshinda tuzo kibao na bado hawajawasaidia wananchi wao?
Hata akishinda ado haibadilishi matokeo ya uchaguzi uliopita ngoma iko palepale chuma kikolimoto.
Mtachakaa awamu hii kwa kweli
Acha ujinga!Wewe kimeo kwani umeambiwa hizi kura za Urais? Yaani huko CCM yamejaa mapooza tupu ndiyo maana mkulu anachagua majembe toka Chadema na kuwaacha nyie vimeo mkisugua bench hapo Lumumba
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wewe kilaza hujitambui utazeekea hapo kwa buku 7 tu.Acha ujinga!
Mmekomaa eti tumachague wa Ghana! So mkimchagua wa Ghana Magu hawi rais kwa chuki zenu?
Kwanza hapo huoni ameshawapita hadi wa south na senegal? Huoni hiyo tu kama ni promo kubwa kwake pamoja na chuki zenu nyie kenge?
Badala ya sasa hivi hizi harakati zenu uchwara mkiongozwa na kigogo mngezielekeza kwenye kudai katiba mpya itakayounda tume huru nyie mmekomaa na huu ujinga? Mmesikia Magu akikosa kuwa wakwanza hawi rais?
Hadi 2025 inafika ndio mtakumbuka mlikuwa mnafanya ujinga.
Si ajabu hili shindano limeandaliwa na LumumbaWatanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.
Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo Magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana
USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Unahangaika kujaribu kumshusha mtu ambae hawezi kushuka JPM yupo hadi 2025 labda Mungu mwenyewe aamue vinginevyo!Wewe kilaza hujitambui utazeekea hapo kwa buku 7 tu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wewe unasugua bench tu hapo kwenye korido za Lumumba.Unahangaika kujaribu kumshusha mtu ambae hawezi kushuka JPM yupo hadi 2025 labda Mungu mwenyewe aamue vinginevyo!
Nyie hangaikeni na ujinga 2025 mwezi 10 muje na utitiri wa vi thread humu eti tume huru na takataka nyingine kama hizo.
Sisi ccm tuko huku field tunasubiri mtokeze vichwa tuwabonde.
Hivi hairuhusiwi kumpa na Ramaphosa?Aahh kabisa aisee! Tena sijui imekuwaje kawa wa pili!
Yaani kwamba kamshinda hadi Ramaphosa! Ilitakiwa awe wa mwisho!
Nasugua bench hapa Lumumba nikijiandaa kumrudisha mtu kwa AmsterdamWewe unasugua bench tu hapo kwenye korido za Lumumba.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kura zote kwa AkuforNasugua bench hapa Lumumba nikijiandaa kumrudisha mtu kwa Amsterdam
Safi! Ili tumpige chini Magu na Lisu awe rais
Wanasema eti wanahesabia Kura moya tu. Mie ngoja nimpe Ramaphosa kwa kweli.
Umepanic mbaya, Magu hawezi shinda kwa kura bila kuwepo mabegi meusiSafi! Ili tumpige chini Magu na Lisu awe rais
Kwani Lumumba mbona mmeng'ang'ania kuwa Magu hata akinyimwa kura bado tu atakuwa Rais sasa nani kasema siyo Rais? Kwahiyo mnataka tumpigie kura kwa sababu tu hata tusipompigia bado atabaki kuwa rais?Safi! Ili tumpige chini Magu na Lisu awe rais
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona una hasira sana?Kwani lumumba mbona mmeng'ang'ania kuwa magu hata akinyimwa kura bado tu atakuwa rais sasa nani kasema siyo rais? Kwahiyo mnataka tumpigie kura kwa sababu tu hata tusipompigia bado atabaki kuwa rais?
Hebu msipangie watu maisha bana na hata mtanzania akitaka kumpigia huyo wa senegal kwani ninyi inawauma nini? Aendelee tu kuwa rais ila ndiyo hatumpigii kura hata muongelee matako kwani mtatufanya nini?
Na hao wa South na Senegal ambao Magu amewabwaga nao vipi?Umepanic mbaya, Magu hawezi shinda kwa kura bila kuwepo mabegi meusi
Kati ya mimi na wewe nani ana hasira sasa! Maana naona mmekazana tu oh hata tusipompigia kura magu bado ni rais tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona una hasira sana?
Kwani wewe si inajulikana ulimpigia Amsterdam?