Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ubarikiwe sana kiongoziSasa wewe unamsema mwenzako halafu wewe unatuongelea Taifa kama nani? chanjo ije anayetaka kuchoma achome asiyetaka amfuate Gwajima sawa tu hakuna wa kukulazimisha ila kila jambo lina gharama zake. Ila usiongelee kama unatuongelea sote hapana.