Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee Ni Nini Kama siyo choo kabisaHuyo asikusumbue mkuu... Ni debe tupu
Hawa Ni zero brain don't be shocked anamkosoa mtu kwamaneno ya kangaMimi Naona hujajibu hoja,ame-quote data halali kabisa,hivi unavocheza na DNA Unajua madhara yake...Unajua kitu kinaitwa 'autism',hii kitu watoto wengi uzunguni miaka ya karibuni wanazaliwa nayo,na there is a strong link na vaccinations walizopitia wazazi wao,hata babu na bibi zao..Hebu tuache siasa ktk kila kitu..Iq zetu zenyewe ndogo,Hivi tukichezea dna si tutakuja kuzaa wadumavu kbsa..
FDA na CDC wanasema chanjo hizi zipo kwenye trial mpka 2023,kwanini tusisubiri wamalize majaribio yao...
Hivi wewe unaakili TIMAMU kweli??lakini sishangai mpumbavu kujiona mwenye akili mbele ya mwerevuHuyu askofu ana akili kweli? Hajui kama 'wakomunist'na 'wajamaa' rafiki zetu vipenzi China na Urusi wana chanjo? Kama tatizo ni Ulaya kwa nini hajashauri tukazifate huko. Kama anakataa au tunakataa tukatae kwa sababu ya nyingine sio tu kwa sababu zinatoka Ulaya.
WHO iko chini ya influence ya China, ndio maana Trump alijitoa.
Twendeni kwa fact tuache mentality za kishamba, mbona boss wake wachina walikuja kumchanja kule kijijini
Hawa Ni zero brain wanatia hasira Sana jitu limeshiba huko linakosoa facts kwa maneno ya kangaNafikiri wewe ndio mpuuzi wa kupuuzwa Gwajima kachambua kkitaalamu zaidi kuhusu chanjo hiyo na wewe umekuja na gazeti refu limejaa shutuma tu , pathetic
Zero brains no wonder mtu anapinga Bila hoja za msingJamii ya ktz ni ya ajab sana yaani Gwaj boy kaongea kwa data na fact lakini wanaleta siasa hata vitu vya msingi
Shame
So called conspiracies [emoji23]Kitendo cha kuingia kanisani kwake tayari unakuwa ushakuwa mtumwa wake wa kudumu.
Ndiyo maana hao kina Gwajima hawaishi kwenda kupeleka zaka Nigeria
Mi nafkiri wewe ndye mbwa Tena kokoMbwa nyie mnadhan mkipigwa hizo chanjo nini kitabadilika? Hamna akili mnashindwa hata kufikiria vzur, wawatengenezee chanjo nyie mna umuhimu gan kwao?
HaijalishiSo called conspiracies [emoji23]
Warudishie hela zao!Mawazo ya kijima.
Ndiyo maana watu kama nyinyi korona ndiyo inaanza na nyinyi hadi mtakwisha
Ninacho furahia corona inajua kuchagua.Warudishie ela zao!
Sasa mimi nakuomba wala usitaje vizuri vya nje nataka utaje vibaya tu vya nje maana nikisema utaje vizuri utajaza page taja vibaya tu vya nje? halafu tutajiuliza kilifikaje hapa. Nakuomba taja kibaya tu cha nje.Sisi wenye akili timamu tumemwelewa sana Gwajima. Alichokisema ni kwamba, tuwe makini na hizo chanjo.
Kingine alichokisema ni kwamba, kuna wenye akili fupi ambao hudhani kila kinachotoka nje ni kizuri kwetu. Huo ni ujinga.
Mama Samia :::Hatuwezi kuishi kinyume na wenzetu wanavyo ishi duniani maana Tanzania siyo kisiwa.Warudishie ela zao!
Vibaya vya nje ni KUMFUNGIA BASHITE ASIKANYAGE USASasa mimi nakuomba wala usitaje vizuri vya nje nataka utaje vibaya tu vya nje maana nikisema utaje vizuri utajaza page taja vibaya tu vya nje? halafu tutajiuliza kilifikaje hapa. Nakuomba taja kibaya tu cha nje.
Sasa wewe unamsema mwenzako halafu wewe unatuongelea Taifa kama nani? chanjo ije anayetaka kuchoma achome asiyetaka amfuate Gwajima sawa tu hakuna wa kukulazimisha ila kila jambo lina gharama zake. Ila usiongelee kama unatuongelea sote hapana.Moja ya hoja za hovyo kabisa. Wewe kama unaogopa kufa kwa Corona ni wewe nenda kachanjwe. Hoja alizotoa Bishop Gwajima zinamashiko, taifa haliwezi kufanyiwa majaribio aisee tumekuwa manyani sisi. Thubutu
Umejibu mipasho siyo kwa hoja.Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.
Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona. Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.
Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua
Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni. India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil, Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja. Wameshusha hadi grade 1.
Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo? Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi na utaifishaji wa mali.analijua hilo? Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.
Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.
#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
#Kazi iendelee.
Soma: Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona
Nimefurahishwa sana na kauli ya rais wa Zanzibar jana kuwa mahujaji watapatiwa chanjo.Hivi kweli bado tunashindwa kujiongeza tu? chanjo ni suala la muda tu wala sio la hiyari haya maneno tutajiridhisha ni siasa tu kujikosha kuwa hatumgeuki marehemu waziwazi lazima tulete njia ya kutoka kwa marehemu kwa heshima maana kuna watu bado jinamizi la marehemu linawawinda. wamenza taratibu mask( walizozikataa) mashekh wameanza tufuate kinga na hata social distance( walizikataa) chanjo inaongelewa siku hizi katika majukwaa( hawakuthubutu nyuma huko) wana twist taratibu na wanaelewa kabisa chanjo sio hiyari tena ni muda tu hakuna cha kamati wala nini maamuzi tayari yameshafanywa.
Dawa pekee iliyogumduliwa ni nyungu chini ya ufundi wa malaika mkuuHivi nchi hii na watafiti wetu wanaofanya uchunguzi kujiridhisha hivi kuna dawa yoyote katika pharmacy zetu nchi nzima imeshawahi kugunduliwa hapa nchini na kupitishwa kwa matumizi ya binadamu? nauliza serious sio kama dhihaki hapana nataka kujuwa tu.