Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

Haji Manara ni kada mzuri wa CCM kwa miaka mingi, maarufu, anajuwa kuobgea na anajuwa kusambaza uj7mbe wake kwa stailibyake mwemyewe.

Naamini kazi hiyo Haji Manara itamfaa sana na pia naamini kawacha ujinga wa utotoni / ujanani.

Manara hoyeeee.
Yule mwehu tu unafikiri ccm hawana akili waweke chizi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Sauti yake huwa inapaa vizuri... Tatizo hana kifua cha kuhifadhi mambo....
 
Mmmh sidhani anamskendo mengi sana mjini,but kwa Tz huwezi kushangaa akiteuliwa
 
MPAKA MWENEZI APATIKANE TUTAONA MENGI.
 
Watu wote tunajua mtu sahihi kwa hiyo nafasi hatatokea kamwe kwa kuwa hicho kitengo cha CCM cha Itikadi, Uenezi na mafunzo kilishakufa kitambo mnoo (tangu kipindi cha Ramadhani Omary Mapuri) na kikabakia kuwa genge la uchawa, majungu, uzushi na propaganda za kuchafuana CCM wenyewe kwa wenyewe. Ushauri tu, hicho kitendo kinapaswa kifutwe na mambo mengine yaendelee.
 
Bashite ni msanii kama alivyokuwa jiwe. Ukichanganya na upumbavu wa wa tz utaona kama ana ushawishi ila ni wapumbavu pekee ndo huwa wanamskiza huyo kichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…