Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!

Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!

Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Ni hawa hapa anafaa mmoja kati yao
1Nape
2 Shaka
3 Doto magari
4 Haji manara
5 mwin jaku
6 Pimbi
7 Baba levo
8 Mpoki
9 joti
10 steve nyerere
 
Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!

Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!

Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Post ya kipuuzi tangu huu Mwaka uanze, na huenda isitokeaa tena post ya kipuuzi kama hii
 
Mama amwangalie Lupakisyo Kapange (aliwahi kuwa DC) huko Bariadi, anaweza
 
Habari ndg great thinkers!! Nimeona mkeka mpya wa mama! Nimeutafakari kwa kina! Hakika kila Rais anapenda kufanya kazi na team anayoiamini! Mengine tumuachie Mungu!

Kwa Leo mchango wangu ni kuhusu Herry James! Hakika anafaa kuwa Mwenezi CCM (T) kwasababu zifauatazo:-
1. Ana ushawishi mkubwa Katika kujenga hoja na kuachilia hotuba tamu!
2. Elimu yake ipo vizuri
3. Ni mtu mwenye kujenga team work
4. Ni mtu mwenye kusikiliza, kutatua kero na anao uwezo mkubwa ktk kusamehe
5. Ni mtulivu! Ataweza kumsikiliza mama na kumsaidia kukijenga na kukiimarisha chama.
6. Madhaifu ya kibinadamu kila mtu anayo! Akiwekwa chini na kupata ushauri vizuri hata yanayoonekana ni madhaifu yatabadilika kuwa strength!!

Naomba kuwasilisha!!!
Queen Esther wa JF
 
Awe muenezi kwa masirahi ya nani? Ccm inawenyewe sio kuokotaokota watu eti ni wazuri.....
 
Habari ndg great thinkers!! Nimeona mkeka mpya wa mama! Nimeutafakari kwa kina! Hakika kila Rais anapenda kufanya kazi na team anayoiamini! Mengine tumuachie Mungu!

Kwa Leo mchango wangu ni kuhusu Herry James! Hakika anafaa kuwa Mwenezi CCM (T) kwasababu zifauatazo:-
1. Ana ushawishi mkubwa Katika kujenga hoja na kuachilia hotuba tamu!
2. Elimu yake ipo vizuri
3. Ni mtu mwenye kujenga team work
4. Ni mtu mwenye kusikiliza, kutatua kero na anao uwezo mkubwa ktk kusamehe
5. Ni mtulivu! Ataweza kumsikiliza mama na kumsaidia kukijenga na kukiimarisha chama.
6. Madhaifu ya kibinadamu kila mtu anayo! Akiwekwa chini na kupata ushauri vizuri hata yanayoonekana ni madhaifu yatabadilika kuwa strength!!

Naomba kuwasilisha!!!
Queen Esther wa JF
U handsome wake unakuzuzua! 😀😀😀
 
Hapana hataweza.
Kipindi kile(akiwa umoja wa vijana) naye alikuwa ni wakuonyesha kiburi na vitisho.
Kwa jinsi hali ilivyo mkubwa anataka siasa makini.
 
KUA MWENEZI, UNATAKIWA UWE NA KIBALI CHA KUKUBALIKA NA WATU .NA KIBALI HIKI MTU ANAZALIWA NACHO, UNAPEWA NA MUNGU TU.

KWA SASA HAMNA MTU CCM MWENYE KIBALI HIKO.

WOOOTE WAJAO, WATABAKI KUTEGEMEA WASANII ILI KUJAZA NYOMI LA WATU.

MAKONDA ALIKUA NA KIBALI HIKO KUTOKA KWA MUNGU MWEMYEWE, ALIMPA, NA ITABAKI KUA HIVO.

KAMA UNABISHA, CHUKUA MITUNGI YA GESI UITE WATU MKUTANONI KWAKO

ALAFU KESHO YAKE, MAKONDA AITE WATU BILA KITU CHOCHOTE, ZAIDI YA KUZUNGUMZA NAO.

NDIO UTAELEWA KIBALI NA MAMLAKA, HUTOKA KWA MUNGU
 
Habari ndg great thinkers!! Nimeona mkeka mpya wa mama! Nimeutafakari kwa kina! Hakika kila Rais anapenda kufanya kazi na team anayoiamini! Mengine tumuachie Mungu!

Kwa Leo mchango wangu ni kuhusu Herry James! Hakika anafaa kuwa Mwenezi CCM (T) kwasababu zifauatazo:-
1. Ana ushawishi mkubwa Katika kujenga hoja na kuachilia hotuba tamu!
2. Elimu yake ipo vizuri
3. Ni mtu mwenye kujenga team work
4. Ni mtu mwenye kusikiliza, kutatua kero na anao uwezo mkubwa ktk kusamehe
5. Ni mtulivu! Ataweza kumsikiliza mama na kumsaidia kukijenga na kukiimarisha chama.
6. Madhaifu ya kibinadamu kila mtu anayo! Akiwekwa chini na kupata ushauri vizuri hata yanayoonekana ni madhaifu yatabadilika kuwa strength!!

Naomba kuwasilisha!!!
Queen Esther wa JF
Vp wee hufai
Au nyie kazi kuwapigia debe wenzenu

Ova
 
KIPINDI HIKI VIONGOZI WENGI SANA WANAWATUMA VIJANA WAO WAJE KUWABRAND JAMIIFORUMS MAANA WANAJUA MAMA ANASHINDA HUMU.

JAMANI MKIHITAJIKA MTAITWA.

ACHENI KUTUMIA PESA NYINGI KUJIPROMO
 
Back
Top Bottom