Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Anthony Mtaka
Amos makala
Nape nnauye 😄😄
Boniface Mwamposa
Skudu makudubela
Amos makala
Nape nnauye 😄😄
Boniface Mwamposa
Skudu makudubela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hawa hapa anafaa mmoja kati yaoNafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!
Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!
Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Post ya kipuuzi tangu huu Mwaka uanze, na huenda isitokeaa tena post ya kipuuzi kama hiiNafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!
Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!
Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Wataka kunambia kuwa huyo ndiye mwana wa mariyyam wa Kule Nazaret
kwahio anae abudu N,gombe unahisi à naakili timamu?Ujinga ni kuingilia Imani ya mtu Baniani wanaabudu n'gombe na hawana shida na mtu ndio Imani Yao
Awe muenezi kwa masirahi ya nani? Ccm inawenyewe sio kuokotaokota watu eti ni wazuri.....Habari ndg great thinkers!! Nimeona mkeka mpya wa mama! Nimeutafakari kwa kina! Hakika kila Rais anapenda kufanya kazi na team anayoiamini! Mengine tumuachie Mungu!
Kwa Leo mchango wangu ni kuhusu Herry James! Hakika anafaa kuwa Mwenezi CCM (T) kwasababu zifauatazo:-
1. Ana ushawishi mkubwa Katika kujenga hoja na kuachilia hotuba tamu!
2. Elimu yake ipo vizuri
3. Ni mtu mwenye kujenga team work
4. Ni mtu mwenye kusikiliza, kutatua kero na anao uwezo mkubwa ktk kusamehe
5. Ni mtulivu! Ataweza kumsikiliza mama na kumsaidia kukijenga na kukiimarisha chama.
6. Madhaifu ya kibinadamu kila mtu anayo! Akiwekwa chini na kupata ushauri vizuri hata yanayoonekana ni madhaifu yatabadilika kuwa strength!!
Naomba kuwasilisha!!!
Queen Esther wa JF
U handsome wake unakuzuzua! 😀😀😀Habari ndg great thinkers!! Nimeona mkeka mpya wa mama! Nimeutafakari kwa kina! Hakika kila Rais anapenda kufanya kazi na team anayoiamini! Mengine tumuachie Mungu!
Kwa Leo mchango wangu ni kuhusu Herry James! Hakika anafaa kuwa Mwenezi CCM (T) kwasababu zifauatazo:-
1. Ana ushawishi mkubwa Katika kujenga hoja na kuachilia hotuba tamu!
2. Elimu yake ipo vizuri
3. Ni mtu mwenye kujenga team work
4. Ni mtu mwenye kusikiliza, kutatua kero na anao uwezo mkubwa ktk kusamehe
5. Ni mtulivu! Ataweza kumsikiliza mama na kumsaidia kukijenga na kukiimarisha chama.
6. Madhaifu ya kibinadamu kila mtu anayo! Akiwekwa chini na kupata ushauri vizuri hata yanayoonekana ni madhaifu yatabadilika kuwa strength!!
Naomba kuwasilisha!!!
Queen Esther wa JF
Vp wee hufaiHabari ndg great thinkers!! Nimeona mkeka mpya wa mama! Nimeutafakari kwa kina! Hakika kila Rais anapenda kufanya kazi na team anayoiamini! Mengine tumuachie Mungu!