Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi. Mtaka ni short-tempered hatawezana na muziki wa hawa wapinzani. Makonda angekuwa na speed governor ya mdomo alikuwa mtu sahihi.Huyo mjita sijui mkerewe ana kujisikia sana, ana u-yego Jaji, Yego Masika, chikaka, hafai, halafu akipata changamoto ndio unajua hana akili kabisa ukiacha vile vi akili vya kusoma vitabu vya motivation. Fuatilia alipokuwa mkuu wa mkoa wa dodoma, haku-fit kabisa
InawezekanaNafasi ya Ally Hapi hio
Mimi
Econometrician hivi na wanawake wenyewe wanajua hivi wanavyochukuliwa?Shaka ni Mzanzibar hana umaarufu wowote huku bara,Jokate ni Mwanamke kwa jamii ya kiafrika hamna mtu anaweza poteza muda wake kumsikiliza Mwanamke hata akiwa anaongea.
Yule mkuu wa mkoa wa Njombe ana faa kuwa mwenezi wa Ccm. Yuko humble na kichwa kiko sawaNafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!
Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!
Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Nape Moses Mnauye!!!
Bila kupepesa macho ,natamani saaana yule Said Mtanda ueneze ungemfaaa saaana ,ila kwa kuwa amekuwa mkuu wa mkoa mkubwa hapa nchini ,nadhani yule mku wa mkoa wa njombe anafaa piaNafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!
Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!
Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Yule mkuu wa mkoa wa Njombe ana faa kuwa mwenezi wa Ccm. Yuko humble na kichwa kiko sawa
Nape Moses Mnauye!!!